Siku hizi hawawaleti huku, wameanza kuwafuata nyumbani hukohuko. Huku kuna ulinzi mkali hali shwariiiiii.aaah!mabwepande?huwa hawaongei!!!maana wanaweza kusaidia upelelezi wa tukio!!
Tuombe katiba mpya iruhusu watu wote walio kwenye ngazi za uongozi iwe wa Serikali kuu au Taasisi yoyote ile kupewa Ulinzi au wamilikishwe Silaha za moto kwa ajili ya ulinzi binafsi.na hii inatisha sana maana sehemu salama pekee imebaki kuwa mabwepande!!
mmmh!mkuu,huo ulinzi wa si utakuwa ghari sana!nadhani hilo la kumilikishwa silaha!!ila jamaa wa kazi nao wakisikia unamiliki silaha wanaifuata!!Tuombe katiba mpya iruhusu watu wote walio kwenye ngazi za uongozi iwe wa Serikali kuu au Taasisi yoyote ile kupewa Ulinzi au wamilikishwe Silaha za moto kwa ajili ya ulinzi binafsi.