Huwezi kutumia WhatsApp katika mataifa haya 6, unajua ni kwanini?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
WhatsApp ni mtandao maarufu zaidi wa mawasiliano ya papo hapo Duniani. Inakadiriwa kuwa Watu bilioni 1.6 wanatumia WhatsApp katika Mataifa 190 sawa na asilimia 55.6 ya Watu wote Duniani

Katika WhatApp watumiaji hutumiana Video, Picha, Jumbe za Maandishi na sauti. Mbali ya watu wengi kunufaika na WhatsApp lakini zipo nchi zimezuia matumizi ya mtandao huu

1. China: WhatsApp ilifungiwa ramsi mwaka 2017 wakati wa vuguvugu la siasa za nchi hiyo na mtandao huo haujafunguliwa hadi leo. Inadaiwa kuwa Serikali ya China imezuia WhatsApp ili kuupa nguvu mtandao wa WeChat

2. Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE): Matumizi ya video na audio kwa kupitia WhatsApp yamezuiwa kwenye nchi hii lakini pia Serikali zimezuia mitandao mingine ili kutoa fursa kwa taasisi za mawasiliano za ndani kwa lengo la kuongeza mapato

3. Iran: WhatsApp imezuiwa katika taifa hili na mpaka sasa hakuna taarifa rasmi za kuzuiwa kwa WhatsApp katika nchi hii ingawa inadaiwa kuwa ni sababu za Kisiasa na Usalama

4. Syria: WhatsApp imezuiwa katika nchi hii kwasababu za Kisiasa, inaaminika kuwa Serikali ilikwama kuingilia mawasiliano haya hivyo wakahisi maadui wanaweza kutumia WhatsApp kuihujumu Serikali

5. Korea Kaskazini: Inaelezwa kuwa Serikali iliamua kuifungia WhatsApp na kutoa nafasi kwa mitandao ambayo Serikali inaitaka itumike kwa Wananchi wake

6. Cuba: Inaelezwa kuwa WhatsApp na mitandao mingine kwa sababu kuwa gharama za huduma ya Intaneti ziko juu. Hata hivyo baadhi ya Wanasiasa, Wanahabari na wengine waliopewa kibali wanaweza kutumia WhatsApp

1583734638167.png

WhatsApp is the world’s most popular and most used instant messaging app. With about 1.6 billion users, WhatsApp is used in 190 countries — representing about 55.6 per cent of the world’s population. And this is so because WhatsApp comes with a handful of features that allows people to communicate (via text, audio and video) with family, friends, colleagues, and friends all over the world. All for FREE!

However, while many individual and businesses enjoy the benefits of WhatsApp in their countries, some features of instant messaging service are restricted in certain countries. We take a look at some countries that have banned WhatsApp and why you cannot use the app (or some of its features) in such regions.

1. China
WhatsApp was banned/blocked by the Chinese Government sometime in 2017 during the country’s political season and hasn’t been uncensored till date. Reports have it that the service was banned in the country due to its strong encryption features which limit the country’s power to control the contents its citizens are exposed to, particularly during political periods. It is, on the other hand, believed that the Chinese Government censored the WhatsApp in the country to promote the use of its native instant messaging app, WeChat.

2. United Arab Emirates (UAE)
When in the United Arab Emirates (UAE), you can not make video or voice calls via WhatsApp. This is because the UAE placed a ban on WhatsApp (and some other social media apps) in order to promote the use of local telecommunication services based in the country and ultimately increase the country’s revenue.

So when next you’re in the UAE, you have to find some other means of voice or visual means to talk to your friends and family within and outside the country other than WhatsApp.

3. Iran
The Iranian government also blocks access to WhatsApp in the country every now and then. No one exactly knows for a fact why the government has restricted the use of WhatsApp in the country but several sources have reported the censorship to be attributed to politics and security.

4. Syria
WhatsApp is among the social media applications that have been banned in Syria for political reasons. It is believed that the impenetrable end-to-end encryption of WhatsApp can be utilized by state enemies to plot against the government; hence the ban.

5. North Korea
In North Korea as well, WhatsApp services are blocked. Reports have it that the app’s end-to-end encryption limits the ability of the government to keep track of communications in the country.

If you’ll ever be in North Korea soon, you should plan to use some other form of communications other than WhatsApp.

6. Cuba
Cuba is also on the list of countries that have limited the use of WhatsApp as well as other social media and communication apps. Surprisingly, the Cuban government didn’t ban WhatsApp in the region for political or security reasons, or as a way to keep a tab on its citizen's communications.

WhatsApp and other internet services and chat platforms are restricted in Cuba due to the extremely high cost of internet usage in the country. The cost of using the internet in Cuba is so high that it exceeds the average salary of Cuba citizens. Crazy, isn’t it. Only a selected few (e.g. politicians, journalists, and legally authorized students) are eligible to use/access the internet and communication apps like WhatsApp.

If you’ve got plans to visit any of the countries listed above, perhaps for vacation or work, you should research some alternative ways to communicate in and outside the countries other than WhatsApp — because you wouldn’t be able to legally use it.

Source: Dignited
 
Kayika ncui hizo ukiwa na app ya VPN support unatumia tu kuna ndugu kadhaa wapo china huwa nachart nao kwa whatsapp but unailipia hiyo app

sent from toyota Allex
 
Top 5 most used mobile apps in Tanzania
1. Facebook
2. Insta
3. Utube
4. Whatsapp
5. Twitter

We ar making the rich richer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu bado wanadai hakuna uhuru na demokrasia inakandamizwa.

Wangekwenda kuishi kwa siku moja tu katika hayo mataifa hapo juu na mengineyo wangejua kuwa hapa walipo ni sehemu ya kipekee.
 
Hata Ethiopia, wacha whatsapp; internet with a lot of restrictions. Wengi hawajui hata simu ukipiga zote zinasikilizwa na utasikia mtu akikukatiza ongea kiingereza ikiwa ni mgeni. Ajabu sana. Afrika ni mahali pabaya sana, kila nchi ina ubaya wake.
Huyo anaekuambia ongea kiingereza anakua jiran yako au hao wanao wasikiliza mitandaon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi naona wanabishia jambo wasilolijua kwa nguvu zote.

Anayetumia Whatsapp akiwa China anafanya hivyo kwa njia za panya.

Kwahiyo anatumia ama hatumii?iwe kwa njia za panya ama za kunguru WhatsApp si inatumika!usiwe lodi lofa mkuu


Sent using IPhone X
 
Iwe kwa VPN au VIPINI, andiko lako halina ukweli kwa sababu watu wanatumia mtandao wa whatsapp tofauti na madai yako.

Ni sawa mtu aseme Tanzania hairuhusiwi kutumia Google ila ukiwa na bando unatumia.
Mi nadhani wala hutakiwi kufikiri ki hivyo.

Hapa mtoa mada anasema, Serikali za nchi husika zimezuia matumizi ya mtandao wa WASAP. Lakini wananchi wameamua kwa makusudi kabisa kuizidi akili serikali na kuamua kuipata wasap kwa njia ya VPN.
Kwa kufanya kitendo hicho inamaana wanavunja sheria za nchi, maana nchi kama nchi yenyewe inajua kuwa wasap haipo katika ardhi yao.

Kwa hiyo kimataifa nchi inatambulika kuwa haitumii mtandao wa wasap.

lakini nyie mapanya wadogo mnaamua kutumia VPN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom