Huwa unajifagilia??

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kuna tuhuma kwamba kuna watu humu JF huwa wana tabia ya "kujipigia" Pasi. Eti watoa tuhuma wanadai mtu anaweza kuanzisha thread kwa ID ya "Mkongojo" kisha ana logg Off na kurudi na ID nyingine ya "Bakora" na kuisapoti thread, halafu huyo ana Logg Off na kuibuka na ID nyingine ya "Mkwaju" kuja kuchangia na kuwazodoa wote wanaompinga, kabla ya kufunga kazi kwa ID ya "Fimbo" kwa kuelezea kwanini "mazuzu" hawamuelewi "Mkongojo".Na mwishoooni anarudi tena na ID ya "Mkongojo" kuja kuwashukuru "Bakora","Mkwaju" na "Fimbo" eti kwa kumuelewa!!

Wewe umeshawahi kujipigia PASI?
 
Aisee!!
ngoja nianze huo utaratibu, mkuu yu ari veri Jiniaz!!
 
sasa ukijisifia mwenyewe unapata raha? au raha wanapata wengine? mbone km kuchungulia!!!!!!!
 
Kama hii ni kweli, nichagueni niwe mbunge wenu
Mirembe inahitaji kupanuliwa.
 
Kuna tuhuma kwamba kuna watu humu JF huwa wana tabia ya "kujipigia" Pasi. Eti watoa tuhuma wanadai mtu anaweza kuanzisha thread kwa ID ya "Mkongojo" kisha ana logg Off na kurudi na ID nyingine ya "Bakora" na kuisapoti thread, halafu huyo ana Logg Off na kuibuka na ID nyingine ya "Mkwaju" kuja kuchangia na kuwazodoa wote wanaompinga, kabla ya kufunga kazi kwa ID ya "Fimbo" kwa kuelezea kwanini "mazuzu" hawamuelewi "Mkongojo".Na mwishoooni anarudi tena na ID ya "Mkongojo" kuja kuwashukuru "Bakora","Mkwaju" na "Fimbo" eti kwa kumuelewa!!

Wewe umeshawahi kujipigia PASI?

Labda Kigarama mi niulize , kwani hapa mwisho wa
mwaka hua kuna Award ya Best Thread of year ? Ambayo ikisapotiwa na Member wengi inashinda ?
Kama ndivyo nambie namie nianze hiyo makitu .
 
Hapana bali hawa wanapenda ujiko wakati huo huo wanapenda kutochafua "status" za ID zao kongwe.
 
Dia , hilo mbona liko kitamboje !
Hasa kule Jukwaa la Wakubwa ndiyo kwenyewe kuna waheshimiwa mabibi na mabwana wana ID Maalumu za kuvinjaria kule !
 
kuna jamaa mwaka jana alicheza hizi rafu mpaka akawa JF man of Year..
 
Hapana bali hawa wanapenda ujiko wakati huo huo wanapenda kutochafua "status" za ID zao kongwe.
Ni zaidi ya ujiko na uelewa mdogo!
Uliyonena yapo na watu wenye hizo tabia wanajijua! wamekosa la kufanya ni sawasawa na kujichungulia mwenyewe!

Kuna tuhuma kwamba kuna watu humu JF huwa wana tabia ya "kujipigia" Pasi. Eti watoa tuhuma wanadai mtu anaweza kuanzisha thread kwa ID ya "Mkongojo" kisha ana logg Off na kurudi na ID nyingine ya "Bakora" na kuisapoti thread, halafu huyo ana Logg Off na kuibuka na ID nyingine ya "Mkwaju" kuja kuchangia na kuwazodoa wote wanaompinga, kabla ya kufunga kazi kwa ID ya "Fimbo" kwa kuelezea kwanini "mazuzu" hawamuelewi "Mkongojo".Na mwishoooni anarudi tena na ID ya "Mkongojo" kuja kuwashukuru "Bakora","Mkwaju" na "Fimbo" eti kwa kumuelewa!!

Wewe umeshawahi kujipigia PASI?

Hivi kumbe haya mambo yapo humu jamvini?
 
Back
Top Bottom