Huu utaratibu mpya nimeupenda sana na nawashauri na wengine wenye Ndugu zao Mahabusu au Gerezani nao waombe kuonana Mkemia

Wilaya yako ya Arumeru unayoingoza sasa inaendeleaje lakini? Ila siku hizi umekuwa mpole sana huko wakati mwanzo ulianza na ' moto bati ' kabisa. Vipi Wameru wamekushikisha adabu mapema yote hii au unajipanga vizuri ili sasa umuondoe Mrisho Gambo hapo Mkoani?
Jmc06 Ina maana kubwa wala si Jerry Muro, ukitaka njoo pm nikudhibitishie. Anyway bado kinachonishangaza ni GENTAMYCINE kuja na CHEAP thread kama hii.Nahisi account yako imevamiwa.Hakuna LOGIC yoyote kwenye hii thread, haiendani na hadhi yako JF, umeanza kuwa Kama wapiga ramli wa 24/7 akina Karatasi ya Mshahara & Co LTD .
 
Hapa sitaki hadhi mkuu labda wewe unataka.

Nasema ninachoona kinafaa kukisema, wewe ana akili yako endelea kuchambua na uchukue kinachokufaa kile kisichokufaa achana nacho.

Mwifwa huogopi ' Kubishana ' na Mheshimiwa? Unaijua Klabu Kongwe ya Yanga SC? Unamjua aliyewabatiza lile jina la Wakimataifa na aliyewabatiza Simba SC jina la Wamatopeni?
 
Jmc06 Ina maana kubwa wala si Jerry Muro, ukitaka njoo pm nikudhibitishie. Anyway bado kinachonishangaza ni GENTAMYCINE kuja na CHEAP thread kama hii.Nahisi account yako imevamiwa.Hakuna LOGIC yoyote kwenye hii thread, haiendani na hadhi yako JF, umeanza kuwa Kama wapiga ramli wa 24/7 akina Karatasi ya Mshahara & Co LTD .

Unaweza ukanithibitishia ni wapi katika ' Uzi ' huu nimekutaja Wewe ni Jerry Muro? Kwanza bahati mbaya katika Kumbukumbu yangu ya ' Ubongoni ' sina jina hilo la Jerry Muro ninalolifahamu. Kwani huyo Jerry Muro ni nani Mkuu? Na anaishi wapi labda? Ana umuhimu gani ndani ya ardhi hii ya Tanzania?
 
Basi potezea, endelea kupiga ramli zako.Naona imenichukua muda mrefu ku debate pasipo umuhimu wowote.Ila hii ni mojawapo ya THREAD za kitoto ambazo zinajaza servers za JF bila sababu.
 
Unazani niliyeandika ni kipofu?

Kama hujaelewa nilichokiandika, rudia kukisoma tena ili ukielewe.

Pia sio lazima uelewe, soma yale unayoyaelewa
Na kweli sio lazima kufungua kila thead za jf ....jamaaa anasoma kila comment na anataka kuielewa
 
Lazima utoe Trilioni kwanza pia lazima useme unaunga mkono juhudi na lazima upongeze kwa kufanya kazi nzuri
 
Mwifwa huogopi ' Kubishana ' na Mheshimiwa? Unaijua Klabu Kongwe ya Yanga SC? Unamjua aliyewabatiza lile jina la Wakimataifa na aliyewabatiza Simba SC jina la Wamatopeni?

Nimekusoma toka uanze kujibizana naye, nilikuwa siujui ufunguo wake Mheshimiwa wa hapa Jamvini.

Baada ya kuujua nikawa natabasamu na kujisemea, leo nimeujua ufunguo wa Mheshimiwa bila kutarajia.

Kikubwa tu awe na moyo na ujasiri wa kubishana na sisi humu ambapo mara nyingi anatuonea tukiwa kule nje ya JF na hasa kwenye sehemu yake ya kazi. Basi na hapa na sisi tunamtolea uvivu mubashara kabisa.
 
Nimeupenda sana kwakweli huu utaratibu na kama kuna Mtu aliyemshauri Mkemia awe nao au auanzishe nampa sana Kongole / Pongezi na naomba asiuache au usiwe wa Kiubaguzi na ukawa ni ' Maalum ' tu kwa Wahindi au Waarabu bali naomba uwe unawahusu hata Waafrika wenzangu.

Nawaomba Ndugu za hawa Wafuatao nao waombe ' audience ' na Mkemia ili mambo yao nao yanyooke na waweze Kufikiriwa kuachiwa na warudi Uraiani....

1. James Rugemalira
2. Harbinder Seth
3. Jamal Malinzi
4. Evans Aveva
5. Godfrey Nyange
6. Amber Rutty
7. Harry Kitilya

Nawasilisha.
Nilidhani utasema wezi wa njiwa, kuku, mbao mbadala yake unawataja matajiri na kuchomekea mnyonge mmoja.
 
Njooni kwake mkemia mkuu enyi nyote mnaoelemewa na mizigo ya pesa naye atawasamehe ndugu zenu saba mara mia saba na milango ya magereza itafunguliwa na hiyo pesa itawaweka huru. Amen
 
Basi potezea, endelea kupiga ramli zako.Naona imenichukua muda mrefu ku debate pasipo umuhimu wowote.Ila hii ni mojawapo ya THREAD za kitoto ambazo zinajaza servers za JF bila sababu.

Ila pamoja na kwamba ' Thread ' yangu haina maana lakini bado kwa ' Utahaira ' wako ' uliotukuka ' umeendelea Kuusoma na bado unachangia tu. Hopeless!
 
Back
Top Bottom