Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.

Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.

Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.

Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
Iyo pesa nikopeshe Mimi mkuu
 
Unatuchukuliaje wewe sisi TUNAJUA MTFE imeingia Africa hata miaka mitatu haijaisha, Tanzania penyewe imeingia mwaka Jana , sasa wewe hiyo miaka minne umekuwa nayo toka lini, au umetumia Log2 🤣🤣🤣🤣
Ina miaka 18 sema Africa ndio hivyo ila ni ya kitambo sana Screenshot_20230810-141037.jpg
 
Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.

Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.

Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.

Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
Forex is only for smart peoples.. very bright!, Intelligent peoples...

Yakupaswa uwe kichwa kweli kweli!? Vinginevyo... Ni bora ubeti tu....

Alikuwemo ONTARIO Humu.. 2013... Alikua na lengo zuri kabisa kuelimisha kuhusu FX markets ..

Shida ya wengi waliopoteza ni kwa tamaa zao... Wala si ONTARIO

Uliona wapi... Unaanika mahindi mabichi asubuhi juani...

Then jioni unaenda kusaga... Ukitegemea upate unga!?

Utakuwa kichaa... Probably utapata uji!? Na sio unga...!

Forex sio nyanya!!! Kwamba utgemee kuvuna ndani ya miezi miwili!!!!.... Huo ni utaahira!!! Afadhali ubeti

Forex ni kama kahawa, (Cocoa) itakuchukua muda miti kukua na kukomaa kutoa matunda ya kahawa....

Lakini.. ikishaanza kutoa mbegu... Wewe ni kuvuna tu Kila mwaka... Hupandi tena.
 
Back
Top Bottom