Huu siyo wizi kweli?

Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,286
127
ndugu wana jf, jana kuna tangazo lililetwa hapa jamvini na kampuni moja inajiita plusfinance wakasema kwamba wanahitaji watu kwa ajili ya business planing training ambayo itafanyika tarehe 26/27 mwezi huu.kwa kuwa waliweka namba za simu nikaamua kuwapigia kwenye namba hii 0687024164 nikaongea na mmoja wa wahudumu na kuniambia nitume cv yangu na watanipa maelekezo.leo saa 10.00am wamenitumia sms kwenye simu yangu wakiniambia kuwa nahitajika kulipa sh 50000 kama ada ya kuhudhuria kwenye training hiyo na nilipe kabla ya tarehe 25 mwezi huu sehemu ya kulipa ni PFL located at IDEAL HOTEL 1st floor Faya area behind Exim bank.namba ya aliye nitumia hiyo sms ni 0758921404.naombeni ushauri mimi pamoja na wengine wote ambao hawafahamu ujanja wa huu mji.asanteni.
 
Hii kampuni ipo kabisa ni ya kweli ipo pale faya nyuma ya Exim ,manake mi namfahamu hata mmiliki,ila mi nliwahi kwenda pale manake walitangaza nafasi za kazi kwa wakati huo,ingawa sikuafikiana na terms zao,labda hilo la kulipia Training wangeweka wazi kuwa mshiriki anatakiwa kulipa gharama gani na kwanini ili mtu ufahamu kabla ya kufanya maamuzi ya kushiriki.ni vizuri uwasiliane nao au uende physically wakueleweshe as to why you have to pay.
 
Thanks mkuu, kinachonitisha ni kwamba hata cv bado sijazituma then wananiambia nicomfirm kwa kulipa hiyo pesa.
 
Be carefully...... Ujasiliamali huo, ndo ujanja wa mjini kaa chonjo. Angalia sana michezo ya utapeli ya dude pale tbc utapata suluhisho la kutotapeliwa.
 
maadam umeshapata maelezo kuhusu ofisi ilipo basi nenda moja kwa moja kwa maelezo zaidi
 
Hao wanatafuta kazi kwako unawalipa wewe sio wao wakulipe. Wamekuwa weng sana hao kuwa makini. Uckubal kutoa pesa. Ni wezi!!
 
kulipia mafunzo ni kitu cha kawaida. tatizo langu ni kujibiwa kwa sms, tena b4 kutimiza sharti la kutuma cv. nashauri ukawatembelee,na ukishawaona nashauri uwazukie siku ya training na ulipie hapohapo. sidhani kama wanaweza kupata darasa lililojaa! training ni sehemu mojawapo matapeli wanaitumia sana. ungeweza kucheki web ya udsm ama kutuma email kuulizia kama kuna training hiyo unayohitaji.
 
Back
Top Bottom