Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 303
- 1,158
Soka la Bongo bwana, eti mchezaji katambulishwa kwenye mkutano wa uchaguzi, tena tunaambiwa alicheza Newcastle, mbona Saido Ntibazonkiza alicheza Ulaya, kipi cha maana alichofanya, tuache sanaa, huyo Bigirimana kama mtu kweli ataonekana dimbani, uwe fundi wa mpira ulaya halafu uje Bongo, kweli wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Utopolo mambo ya kutambulisha mchezaji kwenye mikutano ni mambo ya kishamba kabisa.
Utopolo mambo ya kutambulisha mchezaji kwenye mikutano ni mambo ya kishamba kabisa.