Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

Umenifikirisha sana, enzi hizo Nyerere bado Rais mshuwa alitoka ughaibuni na gari yake Datsun na Radio player.
Daah, uliposema Datsun umenikumbusha mbali mno......
Duh kuna jamaa alikuwa mkubwa kwetu aliwahi kutuambia 'kuna siku mtawaambia watu mlikuwa mnaishi mtaa huu watawabishia' kila nikipita huo mtaa namkumbuka yule jamaa!
Mazee, hili nalo limenikumbusha mbali sana. Basi tu sina la kusema......
 
Kwa nini watu wanapenda pombe wakati sio tamu kama soda?

Kuhusu swali hili, hakuna mtu ana majibu yote kama mimi.
Itoshe tu kusema aliyegunduwa pombe na muziki wana nafasi yao peponi.

Wabarikiwe sana Wacongoman ni Mungu tu ndio anajuwa wanavyotusahaurisha shida zetu.
 
Back
Top Bottom