Huu ndio uwizi unaofanywa na ma afisa wa tra mkoa wa rukwa

chipalila1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
259
31
TRA RIST.jpg Hizi ndo rist zinazo tolewa na hawa jamaa wa tra pale mtu anapo kamatwa na pkpk, gar, duka n.k. Na akajtetea kuwa hana hela kamili kama wanavyo htaj basi hudaiwa operation charge ambayo wao wanadai n tsh 35000, but hata ukiwa na sh elfu 20 rist wanatoa . Utata unakuja kwene hyo rist wanayotoa, n kama inavyo onekana kwene picha. Kwana wanao elewa zaid watudadavulie hl
 
Back
Top Bottom