Huu ndio ukweli kuhusu mkataba wa DP world na serikali unaofichwa na viongozi wengi. Tumekukosea nini Mungu sisi watanzania?

DaudiAiko

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
302
274
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
 
Attachments

  • Analysis-DP world contract.pdf
    8.4 MB · Views: 6
Screenshot_20230724-194222.png
 
Mbona haufunguki hii pd, au moderetor wamefanya yao? Rekebisha basi.
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
Umechambua vizuri sana. Hongera Mzalendo.

Wahafidhina watasema unatukana Dini yao na warabu wao.
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema

"TUMEKUKOSEA NINI MUNGU SISI WATANZANIA" 😂
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
Huo uchambuzi ulioambatanisha ulifanywa na nani? Kwa nini unasema ulifichwa? Mbona mkataba huu umechambuliwa na watu wengi tangia utoke, wakiwemo magwiji wa sheria kama Prof Shivji? Nini kipya kwenye hiyo document uliyo attach?
 
Hiyo IGA ni utapeli wa kiuwekezaji ndo maana watu wamelambishwa asali ili kulainisha mambo.

TPA ilitakiwa itangaze tender mpya ya kuendesha shughuli za makontena baada ya ku terminate kampuni ya TICTS. Hao TPA kwenye tender ndo wanatakiwa watoe vigezo na ufanisi wanaouhitaji halafu makampuni mbalimbali yaombe, siyo hii ambayo DP world ndo anaiwekea nchi masharti, huu ni uhuni.​
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
Ila Nchi hii 🤔🤔🤔!! Btw nimeisoma vzr
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
Kama hii observation wanasheria hawakuiona Basi waiangalie upya waboreshe then Kazi iendelee..tunahitaji uwekezaji wenye faida na sio hasara...MH.Rais akiona hii najua ataona hoja na kufuatilia..
Kazi kwa wanasheria na taaluma yao sasa maana Mh Rais anawategemea kutumia utaalam wao kizalendo
 
Wanabodi,

Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nawatakia nanenane njema
Kama hii observation wanasheria hawakuiona Basi waiangalie upya waboreshe then Kazi iendelee..tunahitaji uwekezaji wenye faida na sio hasara...MH.Rais akiona hii najua ataona hoja na kufuatilia..
Kazi kwa wanasheria kutumia taaluma yao kizalendo na kumshauri Mh Rais inavyopasa
 
Back
Top Bottom