Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,093
Sasa ni wakati muafaka kwa Nassari kutangaza waziwazi kuunga mkono juhudi ili apewe jimbo
Nashauri hata 2020 CDM wasusie uchaguzi - sisi CCM tunaomba mungu aendelee kuwa upande wetu
Kwani wamekutangazia wewe, wamekumbushwa wanachama wa Chadema hasa wa jimbo la Arumeru Mashariki ambao wewe si mmoja wapo.Sijawapangia ila walishatuambia na tunajua kuwa hawashiriki chaguzi ndogo.kama wangekuwa wanabadilisha maamuzi Yao hapo ingekuwa sawa.
Na Kwa sababu ya kiburi chenu mwaka 2020 cha Moto mtakiona
Hiyo ndio njia pekee kwenu kwani chama kimezeeka hakiwezi tena ushindani zaidi ya hujuma kwa kutumia madaraka ya urais.
ACT wazalendo ndio habari ya mjini!
Nyie watekaji,watesaji na wauaji Mungu hawezi kuwa upande wenu,nyie ni uzao ibilisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kinakuwasha nini?Sijawapangia ila walishatuambia na tunajua kuwa hawashiriki chaguzi ndogo.kama wangekuwa wanabadilisha maamuzi Yao hapo ingekuwa sawa.
Na Kwa sababu ya kiburi chenu mwaka 2020 cha Moto mtakiona
Nani mwenye nguvu ya ushindani - njoo Arumeru kesho kutwa uone moto wa CCM!
CDM mmeisha - kuisha kabisa
MK 2019
Tuliza mshono jomba. ... ..Dawa inapakuliwa 2020
Rais anahusikaje na Nassari kutohudhuria bungeni?!!Washiriki wao na CUF, mtajuwa mnawatangaza au mnajitangaza nyie. Ila ni kuwa wapiga kura wengi hawatajitokeza kwenye hilo zoezi haramu linalofanyika kumfurahisha rais.
Serikali za mitaa 2019 hawatashiriki.?
Usimshirikishe Mungu kwenye wizi wa kura Mungu ni wa haki sio wa dhulumaNashauri hata 2020 CDM wasusie uchaguzi - sisi CCM tunaomba mungu aendelee kuwa upande wetu
Ccm hawawezi siasa wala hawawizi ushindani zaidi ya hujuma, wanachofanya ni kutumia madaraka ya urais kutishia vyombo vya kimamlaka kutangazwa washindi.
Nenda kawaulize.Ili kuondoa gharama zote NEC inasubiri nini kumtangaza mgombea wa CCM kuwa tayari ni mbunge.
Uchaguzi serikali za mtaa una umuhimu sana kwa uhai wa chama kujipima kuelekea uchaguzi Mkuu.Hata wakishiriki ni kupoteza muda kwani katiba inampa mamlakani rais ya kuagiza vyombo vya kimamlaka kutii atakacho.
Rais anahusikaje na Nassari kutohudhuria bungeni?!!
Ni Mungu gani mnamuabudu, Mungu anayewabarikia na bunduki na risasi kwajili ya kujeruhi watu, Mungu yupi huyo mnayemuabudu anayewapa nguvu ya kuwaua na kuwagandamiza wale ambao wako upande pili. Acheni unafiki, dhambi mnayoisababisha itawarudia. Shwaini nyieeeAsante, Wangwe anakusikia
Nassari kanunuliwa?!Nazungumzia mwenendo wa uchaguzi kwenye box la kura kutokuheshimiwa kwa backup ya mamlaka ya rais. Hata huyo rais anahusika kwa kile kitita cha vote20 ndiko hela za kuwanunua wapinzani zinakotoka.
Ni Mungu gani mnamuabudu, Mungu anayewabarikia na bunduki na risasi kwajili ya kujeruhi watu, Mungu yupi huyo mnayemuabudu anayewapa nguvu ya kuwaua na kuwagandamiza wale ambao wako upande pili. Acheni unafiki, dhambi mnayoisababisha itawarudia. Shwaini nyieee
Sent using Jamii Forums mobile app