spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna makund i ya vijana yanahamasisha vijijini hadi nashangaa, mwamko huu umetoka wapi?
Sleeping Giants nani kawaamsha usingizini?
Hali ni hii kanda ya ziwa, vipi Songea tujuzeni?
bongo lala kondoa/Dodoma inahitajika nguvu mpya nako hali ikoje?
Tanga ktk uchaguzi wa udiwani CCM ilikuwa ya 3, hii nayo imekaaje?