Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
what a wonderful couple
Kumbe husninyo ni bonge la mdada
Wajameni mimi ni mgeni humu, huyo husninyo ni nani humu JF..
Wajameni mimi ni mgeni humu, huyo husninyo ni nani humu JF..
Mweka hazina wa jf, mPM akupe namba zake umM'PESA fee ya kujiunga jf...Wajameni mimi ni mgeni humu, huyo husninyo ni nani humu JF..
Mweka hazina wa jf, mPM akupe namba zake umM'PESA fee ya kujiunga jf...
naomba unitaftie vichwa vingine kumi, nitakuongezea kamishen. Lol.
Kumbe tunaweza kupiga hela hapa
Kumbe tunaweza kupiga hela hapa
Usemapo neno mashine kuwa makini mda mwingine my dear sister
Khaaaa!! Msipomuona katavi jf mjue tumemRIP.
Pole kwa mshituko lawyer, kunywa maji baridi moyo upoe!Lol............ khaaa!
Ngoja niende introduction room navileta kama 20 hivi...naomba unitaftie vichwa vingine kumi, nitakuongezea kamishen. Lol.
heheeh kwa hali hiyo bora niendelee kushika pembe tu. Khaaa!Nini tena? Uporoto kakupiga bao, nilidhani ni wewe unaekula mzigo kumbe ulikuwa mshika p..mbe...lol!