hupendi nini?

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
ninapokuwa safarini nachukia sana:
1.kukaa na mtu anayenuka kikwapa
2.mtu anayejamba jamba hovyo
3.........
4.......
We hupendi nini?
 
Mi sipendi kupanga nyumba moja na mtu asiye flash akitoka chooni,sipendi masharobaro wanao vaa milegezo ili charter la boxer aliyovaa lionekane,sipendi mademu wanaoweka nywele artificial halafu wanajifanya wanatikisa kichwa zisiwazibe macho kama wazungu vile!
 
mie sipendi watu wanaotoa mada za kipuuzi km hizi unadhani wote wana uwezo wa perfum,cpend pia kucomment ujinga km niliosema bt for real cpend lolote mtakalosema
 
ninapokuwa safarini nachukia sana:
1.kukaa na mtu anayenuka kikwapa
2.mtu anayejamba jamba hovyo
3.........
4.......
We hupendi nini?

Jamaa ananuka kikwapa halafu anaextend mkono wake mpaka kwenye siti yangu ...........sipendi!!!!!!!!!!!!!
 
mie sipendi watu wanaotoa mada za kipuuzi km hizi unadhani wote wana uwezo wa perfum,cpend pia kucomment ujinga km niliosema bt for real cpend lolote mtakalosema

sipendi watu wasio na uwezo wa kununua perfume
 
sipendi watu wanene hata kidogo, naona kama wavivu na wananuka, mi kazi yangu siwapi, kila wakikaa kona lazima wajambe....
 
Sipendi kupigiwa simu halafu unamsikia mtu ooh nilikuwa nakusalimia tu halafu anachelewa kukata
 
anayekula mayai,
mahindi ya kuchoma
anayenuka mdomo
na anayevuta sigara nikiwa safarini :happy:
 
Sipendi wanaokula hovyo hovyo wakati kuna vituo vya kula misosi, halafu wakati mwingine wanakula mamsosi ya gharama na hamna karibu kwa majirani zao. sijui huwa hawajui kama wengine mle kwenye mabasi hawana hata senti tano ya kununulia maji. wakiibiwa huwa wakwanza kulalamika wakati wenyewe ndiyo wanawatia majaribuni.
 
sipendi watu wanene hata kidogo, naona kama wavivu na wananuka, mi kazi yangu siwapi, kila wakikaa kona lazima wajambe....

siwapendi madereva na makonda wa daladala wanaoacha kuwachukua watu wanene!
 
Back
Top Bottom