Huna bwana huna mume huna kingast una nini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Jamani tuna landlord etu yaani tuko nae hapa hapa yeye hana mume alishaachika nadhan alitendwa sana enzi za ujana wake lakini naona tendo la kutokuwa na mtu linautesa sana jamani

yaani yeye bila kutukanana na watu kila siku ajafurahi mpaka majuzi dada mmoja kaama kaita matarumbeta watu wakahisi sherehe kumbe anamuaga mama kwa mafumbo na maishiri watuu wakajimwaga binti akaondoka na gari limejaa vitu vyake ...haooo

jamani hivi usipokuwa na mwenza ndi waathirika na hasira hivi ama sie ndie twageuka wenza yaani ukimwona na majiran wenzake awaongei utasema wake wenza...
Kazi kweli kweli
wenye kukaa
nyumba za @@##$#$
 
Haya sasa matarumbeta unaretewa

aibu yako aibu yangu

aibu yakooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
huenda hakupata washauri wazuri enzi hizo maana kuachwa au kuacha mwenzi wako ni kitu kinataka moyo kukabiliana nacho, some get through easly others wanabaki na frustration muda mrefu. anahitaji huruma huyo.
 
Du uswazi kiboko kweli yaani unakodi hadi matarumbeta kufurahia upweke wa binadamu mwenzako? Hiyo ni sadism; ni masadist pekee ndio wanavuka mipaka kwa wenzao; hata mktu kakosea ; masimango na mafumbo na matarumbeta! Du!
 
Na wewe Pdidy ulivyo andika umekoseaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeh ..mtafutieni king'asti
 
Back
Top Bottom