Hukumu ya ubunge shinyanga mjini iliingiliwa na riziwani kikwete?

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
[h=6]Hivi huyu Riziwan kikwete ni nani ndani ya nchi hii? mimi nikiwa mmoja wapo wa wa wapiga kura wa shinyanga tuliofungua kesi dhidi ya mbunge feki wa shinyanga mjini ndugu Masele nimeshindwa kuelewa huyu ridhiwan ni nani nadani ya nchi hii hasa baada ya mahakama kuu kanda ya Tabora kutupilia mbali madai yetu kwa sababu zisizo na mshiko wowote ikonyesha kuwa kuna mkono wa mtu, baada ya kazi zangu za kiintelijensia kuzianza nimekuja kugundua kuwa ile hukumu iliandaliwa Orion Tabora hotel ambapo Masele, katibu mwenezi wa CCM shinyanga mjini walionekana Tabora tangu tarehe 24 mwezi uliopita na wote watatu walilala hotel ya Orion tabora hotel na waliandikisha mapokezi majina yao halisi lengo likiwa ni kufanya juu chini ili Masele amabye ni rafiki yake na Ridhiwani Kikwete hapotezi ubunge wake kwa maana kila mtu anajuwa hata yeye mwenyewe anajuwa kuwa hawezi kushinda
Hiyo hukumu ina mkono wa Ridhiwan labda kwa maelezo ya mzee wake
Napenda kutangaza kuwa kama CHADEMA tukichukua nchi 2015 lazima riziwan awajibike kwa huo uijnga anaoufanya , nina namab za vyumba walivyolala tangu hiyo tarehe na kwanini wawepo tabora siku 8 kabla ya hukumu????[/h]
 
Nakuunga mkono mkuu, kunako 2015 kuna watu tutawapa kipigo kama cha Samuel Do ili kurudisha heshima ya nchi yetu
 
Hivi huyu Riziwan kikwete ni nani
ndani ya nchi hii?


mimi nikiwa
mmoja wapo wa wapiga kura
wa jimbo la shinyanga mjini tuliofungua kesi
dhidi ya mbunge feki wa
shinyanga mjini ndugu Masele (ccm)
nimeshindwa kuelewa huyu
ridhiwan ni nani ndani ya nchi
hii hasa baada ya mahakama kuu
kanda ya Tabora kutupilia mbali
madai yetu kwa sababu zisizo na
mshiko wowote ikonyesha kuwa
kuna mkono wa mtu, baada ya
kazi zangu za kiintelijensia
kuzianza nimekuja kugundua
kuwa ile hukumu iliandaliwa
Orion Tabora hotel ambapo
Masele, katibu mwenezi wa CCM
shinyanga mjini walionekana
Tabora tangu tarehe 24 mwezi
uliopita na wote watatu walilala
hotel ya Orion tabora hotel na
waliandikisha mapokezi majina
yao halisi lengo likiwa ni kufanya
juu chini ili Masele amabye ni
rafiki yake na Ridhiwani Kikwete
hapotezi ubunge wake kwa
maana kila mtu anajuwa hata
yeye mwenyewe anajuwa kuwa
hawezi kushinda
Hiyo hukumu ina mkono wa
Ridhiwan labda kwa maelezo ya
mzee wake
Napenda kutangaza kuwa kama
CHADEMA tukichukua nchi 2015
lazima riziwan awajibike kwa huo
uijnga anaoufanya , nina namab
za vyumba walivyolala tangu hiyo
tarehe na kwanini wawepo
tabora siku 8 kabla ya
hukumu????
 
Chief masanja nakupa pole lakini pia najipa pole si tu kwa sababu ni mwana Chadema,bali mimi ni natoka Shinyanga na nimekaa sana.kinachoumiza kichwa ni pale hukumu inaamuliwa hotelini au Ikulu badala ya mahakamani na wahusika wakawa majaji na mahakimu tu.jipangeni vizuri hapo shinyanga na mnatakiwa kumuonyesha wazi wazi huyo masele kuwa hatakiwi,inatakiwa ari kama iliyotokea DAR jana baada ya makamanda wa CDM kuwasindikiza mafisadi wa CCM kuanzia mahakamani hadi kwenye ofisi ndogo za CCM pale Lumumba huku wakiwazomea na kuwaambia live kuwa CCM ni wezi,na kesi hiyo imeaamuliwa Ikulu,kwa vile Mahanga na JK ni marafiki,na hili la Masele na Riziwan sipingi kama kesi itakuwa imehukumiwa pale hotelini Tabora.
Tuendelee kujipanga
 
Ridhiwan anaamini ccm itatawala milele na bahati mbaya hana akili kama babake kusoma alama za nyakati.!
 
Mkuu poleni sana. Huyu riziwani ana mengi sana yenye makunyanzi na kutia kichefuchefu.
After 2015 election, surely he will face his fate.
 
Riziwan ndiye aliyeshiriki kubadilisha matokeo ya uchaguzi 2010.
Naona bado anaendelea kutufatafata tutadil na malori yao ya LAKE we waache.
Kwanza kwa nini tununue gesi ya LAKE????????????????????????
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit
 
Mkuu poleni sana. Huyu riziwani ana mengi sana yenye makunyanzi na kutia kichefuchefu.
After 2015 election, surely he will face his fate.

Ahsante lakini hukumu ya Mungu ipo akumbuke hivyo.
 
Riziwan ndiye aliyeshiriki kubadilisha matokeo ya uchaguzi 2010.
Naona bado anaendelea kutufatafata tutadil na malori yao ya LAKE we waache.
Kwanza kwa nini tununue gesi ya LAKE????????????????????????
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit

Mkuu huyu riziwani amwambie mshua, yale mageleza wayaboreshe... In short ajiande...
 
Huyu mtoto ni fisadi,mnafiki na mwizi wa kutupwa! Nani anakumbuka fitna zake kwenye uchaguzi wa yanga na kilichompata francis kifukwe? Kura za maoni nzega na kilichomtokea hussei bashe! Wale wezi wa madini yetu ya tanzanite kule arusha nasikikia yeye ndo mwanasheria wao. Wakati wao yeye na baba yake hauko mbali.
 
Anayo shillingi, LAKE OIL, DALBIT TRUCK
Arusha,Morogoro,Mwanza alivyowekeza akina Benjamin ni cha mtoto,
Ndo maana dogo anazo za kuchezea
Ikulu siku hizi ni mahali pa kwenda kuchukua ubilionea
 
wana shinyanga tunataka maendeleo toeni ujinga wenu cdm mmetuchosha

We ***** nini? Maendeleo gani mnayoyataka? Leo mwaka wa 51 baada ya uhuru, Shinyanga hamna maendeleo yoyote kwa sababu ya magamba. Mkoa wenye utajiri wa kutisha (nadhani Tanzania nzima). Dhahabu kila kona, almasi za kumwaga, ardhi yenye rutuba inayomea mpunga, karanga, pamba, n.k.
Lakini vyote vinatajirisha wageni a.k.a wawekezaji! Halafu wewe na mawazo yako ya kisaburi saburi eti unataka maendeleo eti CDM waondoe ujinga! Jiulize kama mtoto wako anaweza kusoma kwenye hiyo shule inayoitwa Savannah!
Ondoa ujinga wako kwanza! Tafakari na uchukue hatua!
 
Back
Top Bottom