Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Hukumu ya Dowans ya ICC yatua Mahakama Kuu Dar

Na Waandishi wetu
19th January 2011

headline_bullet.jpg
Mchakato wa kuisajili waanza
headline_bullet.jpg
UVCCM nao waipinga Dowans

Dowans(3).jpg

Mitambo ya Dowans

[FONT=ArialMT, sans-serif]Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC), imewasilisha hukumu yake Mahakama Kuu ya Tanzania, inayoiamuru Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuilipa fidia ya Sh. bilioni 94 kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans Tanzania Limited, kwa madai ya kuvunjiwa mkataba wake.[/FONT]


Endelea hapa http://www.ippmedia.com/

My take:Kumekucha ndo maana kumekuwa na vikao vyingi vya dharura
 
Back
Top Bottom