Hukumu mbovu: Kwa sasa CCM ni kama kibaka mkoani Arusha

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Cheche huzaa moto.

Nadhani, mbali na mambo mengine, hukumu mbovu ya Mwakibarila imechangia wananchi kuzidi kuichukia CCM. Inawezekana CCM waliweka mkono wao ili Jaji atende alivyotenda bila kujua athari zake. Sasa hivi CCM hakitamani kuwepo kwa uchaguzi mdogo Arusha. Nakuapia, hawautaki kabisa. Na hakika, moto huu utaenea nchi nzima. CCM kilifikiri CHADEMA ni Godbless Lema; kumbe sivyo.

Ogopa nguvu ya umma. Ogopa watu wenye hasira.

Arusha sasa wanakiona CCM kama kibaka. Wananchi wenye hasira wanataka kukichoma moto. Matairi, petroli na viberiti viko tayari; kilichobaki ni kumsubiri kibaka tu. Unachomwa baada ya kula kichapo; Arumeru Mashariki wamekipa kichapo kwanza; kisha watakimwagia wese; watakivika tairi; watakichoma.

Sala yangu imepaa. Mungu ameiumbua CCM mchana kweupe. Mungu usinichukue kabla ya kuona angamio la CCM. Amina.
 
Aibu sana kwa Usalama Wa Taifa na Ikulu kwa ujumla wake....
Arusha ni choo cha kike kwa Serikali na chama chake!
 
Wazee wa ccm wanaweza wakahama Arusha.
Watu wana hasira na hilo chama sijawahi kuona.
Ni kama kuna uchaguzi mwengine unafanyika.
Kila kona watu wanaongelea politics.
Hivi ni Arusha tu au ni kila mahali?
 
Ahaaaaaaaaaaa ni kweli wakuu CCM wanafikiri wanakikomoa CDM, wasijue wanajichimbia kaburi kwani hata wafanyaje Arusha ni ngome ya CMD!!!
 
Cheche huzaa moto.

Nadhani, mbali na mambo mengine, hukumu mbovu ya Mwakibarila imechangia wananchi kuzidi kuichukia CCM. Inawezekana CCM waliweka mkono wao ili Jaji atende alivyotenda bila kujua athari zake. Sasa hivi CCM hakitamani kuwepo kwa uchaguzi mdogo Arusha. Nakuapia, hawautaki kabisa. Na hakika, moto huu utaenea nchi nzima. CCM kilifikiri CHADEMA ni Godbless Lema; kumbe sivyo.

Ogopa nguvu ya umma. Ogopa watu wenye hasira.

Arusha sasa wanakiona CCM kama kibaka. Wananchi wenye hasira wanataka kukichoma moto. Matairi, petroli na viberiti viko tayari; kilichobaki ni kumsubiri kibaka tu. Unachomwa baada ya kula kichapo; Arumeru Mashariki wamekipa kichapo kwanza; kisha watakimwagia wese; watakivika tairi; watakichoma.

Sala yangu imepaa. Mungu ameiumbua CCM mchana kweupe. Mungu usinichukue kabla ya kuona angamio la CCM. Amina.

Hapo kwenye bold, umenikumbusha utenzi wa Adili,- Shaban Robert: Mtoto ishiketo, cheche huzaa moto, mto huanza kijito, tone bahari na ziwa.

WA TA JI BE BA.
 
Kwa ugumu wa maisha uliopo tutegemee mijadala mingi ya kisiasa kila pande. Huko Mbeya mambo ndo hayohayo! Leo hii ukiitishwa uchaguzi mkuu wa taifa katika nafasi zote Magamba wataanguka vibaya nno.
CDM anzeni kujenga chama vijijini, watu wahuko hawana uelewa wowote, nendeni mkawape elimu ya uraia.
CDM fanyeni tathmini ya haraka, mtaona kuwa majiji yote ndio ngome zenu, bado vijijini na mikoa yote ya pwani na kati.
CCM kwishnei!
 
Kashaijabutege umeongea sawa. Hayo ndo matokeo ya dhuluma. Magamba sasa hv yanaogopa hadi viduli vyao. Huu ni mwanzo. Shime wa TZ amkeni, aluta continua!
Lakini Kashaijabutege nimeshindwa kujizuia, nilitaka nisiseme hili lakini inaniuma. Mbona umetumia picha ya marehemu mzee wangu? Hiyo picha hapo juu ni ya baba mdogo. Sawa bwana.
 
Hapo kwenye bold, umenikumbusha utenzi wa Adili,- Shaban Robert: Mtoto ishiketo, cheche huzaa moto, mto huanza kijito, tone bahari na ziwa.

WA TA JI BE BA.

Umeweka vitu vizito, tani 18! Safi sana Banda.
 
Ni Siku ambazo tunaona ukombozi umekaribia, sasa nchi yetu itapata maendeleo, mkoloni mweusi aliyetunyonya miaka nenda rudi sasa anaumbuka. LUKUVI na Wassira peoples power inakuja nyie endeleeni kuitetea tu CCM
 
Kashaijabutege umeongea sawa. Hayo ndo matokeo ya dhuluma. Magamba sasa hv yanaogopa hadi viduli vyao. Huu ni mwanzo. Shime wa TZ amkeni, aluta continua!
Lakini Kashaijabutege nimeshindwa kujizuia, nilitaka nisiseme hili lakini inaniuma. Mbona umetumia picha ya marehemu mzee wangu? Hiyo picha hapo juu ni ya baba mdogo. Sawa bwana.

Huyo mimi alikuwa kaka yangu. Alinifurahisha aliposema, baada ya vita kuwa ngumu, kuwa anataka jumuiya ya kimataifa iandae pambano la ngumi kati yake (kaka) na Nyerere, ambapo yeye (kaka) mkono mmoja ufungwe kwenye mti na Nyerere atumie mikono yake yote miwili.

Vile vile aliwahi kulaumu wakuu wa nchi za Afrika walipokutana kujadili ugonjwa wa malaria. Kaka aliporudi nyumbani (Uganda) alimuita waziri wake wa afya na mazungumzo yalikuwa hivi:

Kaka: Kwani Malaria inasababishwa na nini?
Waziri: Mtukufu, inasababishwa na mbu.
Kaka: Kha! Ina maana mbu ana akili kuliko sisi marais tuliokutana ili kujadili malaria?
Waziri: Hapana mtukufu.
Kaka: Sema ukweli wako. Usogope.
Waziri: Ninasema ukweli. Hapana.
Kaka: Basi sitaki kushiriki katika kikao kingine cha marais wajinga mwaka kesho kujadili juu ya malaria. Nakuamuru uhakikishe Uganda haina Malaria ifikapo mwezi kama huu mwakani.
Waziri: Sawa mtukufu.

MATOKEO: Uganda ikawa nchi ya kwanza katika Afrika kwa kupunguza vifo vinavyotokana na malaria wakati wa uongozi wa kaka yangu.

Ninamkumbuka sana.

Nilimpenda pia alipomwambia Malkia "When you come to Uganda I will revenge. You will slip down, I will slip on your top. RIP Kaka.
 
Cheche huzaa moto.

Nadhani, mbali na mambo mengine, hukumu mbovu ya Mwakibarila imechangia wananchi kuzidi kuichukia CCM. Inawezekana CCM waliweka mkono wao ili Jaji atende alivyotenda bila kujua athari zake. Sasa hivi CCM hakitamani kuwepo kwa uchaguzi mdogo Arusha. Nakuapia, hawautaki kabisa. Na hakika, moto huu utaenea nchi nzima. CCM kilifikiri CHADEMA ni Godbless Lema; kumbe sivyo.

Ogopa nguvu ya umma. Ogopa watu wenye hasira.

Arusha sasa wanakiona CCM kama kibaka. Wananchi wenye hasira wanataka kukichoma moto. Matairi, petroli na viberiti viko tayari; kilichobaki ni kumsubiri kibaka tu. Unachomwa baada ya kula kichapo; Arumeru Mashariki wamekipa kichapo kwanza; kisha watakimwagia wese; watakivika tairi; watakichoma.

Sala yangu imepaa. Mungu ameiumbua CCM mchana kweupe. Mungu usinichukue kabla ya kuona angamio la CCM. Amina.

Na kwajinsi navyo ifahamu Arusha hukuti mtu anaongelea habari za CCM ukiziongelea utaona utakavyo shambuliwa kwa maneno makubwa na jamii duuuh kwa kweli Arusha CCM ndipo ilipo poteza mwelekeo kabisaaaaaa

Umeweka vitu vizito, tani 18! Safi sana Banda.

CDM ilikua ni KAJIPELE kaduchu kaliko anza chomoza kwenye kidole kidogo cha mguu.. Haukua na maumivu ukadharauliwa.. Sasa guu lishaoza.. kumbe hawakifahamu kuwa CDM NI KANSA amboyo imesha sambaa ktk mwili wote wa CCM.. Hamna tiba tena, mgonjwa CCM amerudishwa home,tunasubiri tu Mungu aichukue Roho ya hiki KIDUDU MTU... Hamna kiungo kifanyacho kazi zaidi ya MDOMO TU!!!! Tujiandae kwa MSIBA WA KITAIFA SOON AS..
 
Ahaaaaaaaaaaa ni kweli wakuu CCM wanafikiri wanakikomoa CDM, wasijue wanajichimbia kaburi kwani hata wafanyaje Arusha ni ngome ya CMD!!!

mimi kuna wakati nilisema kwamba ukiona wanawake wameshaanza kuihama CCM ujue ndo mwisho wake umefika!sasa kwa swala la arusha CCM isahau kabisa watafute mkoa mwingine kama LINDI*,MTWARA,likini siowilaya ya tandaimba,na Dodoma huko ndiko kuna watu wenye ulemavu wa kifkra na kiakili wnapatikanika!!
 
CDM ilikua ni KAJIPELE kaduchu kaliko anza chomoza kwenye kidole kidogo cha mguu.. Haukua na maumivu ukadharauliwa.. Sasa guu lishaoza.. kumbe hawakifahamu kuwa CDM NI KANSA amboyo imesha sambaa ktk mwili wote wa CCM.. Hamna tiba tena, mgonjwa CCM amerudishwa home,tunasubiri tu Mungu aichukue Roho ya hiki KIDUDU MTU... Hamna kiungo kifanyacho kazi zaidi ya MDOMO TU!!!! Tujiandae kwa MSIBA WA KITAIFA SOON AS..

Hivi vitu tani 40. Msiba utakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom