Huku wakiondoka 'Kisifasifa' na 'Kishamba' kwenda Kigali Wapinzani wao Wamepandisha Bei za Tiketi na sasa Kiingilio ni Laki Moja za Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,747
109,212
Mkiambiwa Mpira wa Afrika ni Vita na kutokana na Ugeni wenu jifunzenj kutoka kwa Wazoefu wa Mashindano ya Kimataifa Simba SC hamtaki.

Taarifa ikufikie kuwa kuna Tetesi kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga Kuongeza Bei ya Tiketi kwa Mashabiki kuingia Siku ya Jumamosi.

Wakati Mashabiki wa Safiri Kigali Kisifasifa na Kishamba FC wakiwa Wameshazoea kuingia kwa Buku ( Tsh 3,000/= ) Tatu au Kuingia Bure ( Fungulia Mbwa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi sasa kama Shirikisho la Soka Rwanda na CAF hawatoingilia Kati basi kila Shabiki atalazimika kulipia Shilingi Laki Moja ( Tsh 100,000/= ) kwa Tiketi.

Kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyowajua Mashabiki wa Timu hiyo walivyo Masikini ( Choka Mbaya ) Kifedha na Kimaisha pia upo Uwezekano 99% yao wasiweze Kuingia Uwanjani ( Pele Stadium ) kuangalia Mechi yao na wakabakia katika Mabasi yao wakimsikiliza Hassan Mvula akiutangaza Redioni na Wengine wenye Simu wakiangalia huko huku Wengine Wakiwadoea Kuangalia na Midomo yao ikipiga tu Miayo kwa Njaa Kali.

Taarifa kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga kufanya Umafia huu ( ambao GENTAMYCINE nimeubariki na naupenda ) imeripotiwa muda si mrefu katika Kipindi cha Sports Bundle cha 107.3Mhz UFM ( Azam Media ) muda si mrefu na Mimi ni Mjumbe tu hivyo kama kuna Mtu ataichukia basi awakasirikie Wao ( Walioileta ) na siyo Mimi.

Safi sana El Merreikh FC mmenjfurahisha.
 
JamiiForums1287949853.jpg
 
Bado hamjasema, tunategemea nyuzi nyingi zenye kila aina ya vitimbi.
Msemaji amesha weka wazi hatoi tena kiki.
Kila klabu ifanye mambo kivyake vyake.
Nasikia Mashabiki wenu Waliosafiri na Wanaotegemewa kuweko huko ni 1000 na kwa hiki Kiingilio cha Shilingi Laki Moja na GENTAMYCINE ninavyowajua mlivyo Choka Mbaya ( Masikini ) na kupenda vya Bure watakaoweza Kuingia Uwanjani kwa Bei hiyo ya Tiketi watakuwa ni Watatu ( 3 ) au Watano ( 5 ) tu.

Kudadadeki.....!
 
Mkiambiwa Mpira wa Afrika ni Vita na kutokana na Ugeni wenu jifunzenj kutoka kwa Wazoefu wa Mashindano ya Kimataifa Simba SC hamtaki.

Taarifa ikufikie kuwa kuna Tetesi kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga Kuongeza Bei ya Tiketi kwa Mashabiki kuingia Siku ya Jumamosi.

Wakati Mashabiki wa Safiri Kigali Kisifasifa na Kishamba FC wakiwa Wameshazoea kuingia kwa Buku ( Tsh 3,000/= ) Tatu au Kuingia Bure ( Fungulia Mbwa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi sasa kama Shirikisho la Soka Rwanda na CAF hawatoingilia Kati basi kila Shabiki atalazimika kulipia Shilingi Laki Moja ( Tsh 100,000/= ) kwa Tiketi.

Kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyowajua Mashabiki wa Timu hiyo walivyo Masikini ( Choka Mbaya ) Kifedha na Kimaisha pia upo Uwezekano 99% yao wasiweze Kuingia Uwanjani ( Pele Stadium ) kuangalia Mechi yao na wakabakia katika Mabasi yao wakimsikiliza Hassan Mvula akiutangaza Redioni na Wengine wenye Simu wakiangalia huko huku Wengine Wakiwadoea Kuangalia na Midomo yao ikipiga tu Miayo kwa Njaa Kali.

Taarifa kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga kufanya Umafia huu ( ambao GENTAMYCINE nimeubariki na naupenda ) imeripotiwa muda si mrefu katika Kipindi cha Sports Bundle cha 107.3Mhz UFM ( Azam Media ) muda si mrefu na Mimi ni Mjumbe tu hivyo kama kuna Mtu ataichukia basi awakasirikie Wao ( Walioileta ) na siyo Mimi.

Safi sana El Merreikh FC mmenjfurahisha.
Kiingilio cha buku tatu mmezoea nyie Simba. Ila wenzenu Yanga waliishaha ma huko, kiingilio tunakijua ni elfu 20 na tumejiandaa kukilipa.
 
Mkiambiwa Mpira wa Afrika ni Vita na kutokana na Ugeni wenu jifunzenj kutoka kwa Wazoefu wa Mashindano ya Kimataifa Simba SC hamtaki.

Taarifa ikufikie kuwa kuna Tetesi kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga Kuongeza Bei ya Tiketi kwa Mashabiki kuingia Siku ya Jumamosi.

Wakati Mashabiki wa Safiri Kigali Kisifasifa na Kishamba FC wakiwa Wameshazoea kuingia kwa Buku ( Tsh 3,000/= ) Tatu au Kuingia Bure ( Fungulia Mbwa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi sasa kama Shirikisho la Soka Rwanda na CAF hawatoingilia Kati basi kila Shabiki atalazimika kulipia Shilingi Laki Moja ( Tsh 100,000/= ) kwa Tiketi.

Kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyowajua Mashabiki wa Timu hiyo walivyo Masikini ( Choka Mbaya ) Kifedha na Kimaisha pia upo Uwezekano 99% yao wasiweze Kuingia Uwanjani ( Pele Stadium ) kuangalia Mechi yao na wakabakia katika Mabasi yao wakimsikiliza Hassan Mvula akiutangaza Redioni na Wengine wenye Simu wakiangalia huko huku Wengine Wakiwadoea Kuangalia na Midomo yao ikipiga tu Miayo kwa Njaa Kali.

Taarifa kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga kufanya Umafia huu ( ambao GENTAMYCINE nimeubariki na naupenda ) imeripotiwa muda si mrefu katika Kipindi cha Sports Bundle cha 107.3Mhz UFM ( Azam Media ) muda si mrefu na Mimi ni Mjumbe tu hivyo kama kuna Mtu ataichukia basi awakasirikie Wao ( Walioileta ) na siyo Mimi.

Safi sana El Merreikh FC mmenjfurahisha.
Kanuni hii ya kihuni haiwezi kukubaliwa popote duniani. Usifananishe soka na Ngoma ya Litungu ambayo kiingilio kinaweza kupanda Muda wowote kutegemea Idadi ya wahudhuriaji.
 
Mkiambiwa Mpira wa Afrika ni Vita na kutokana na Ugeni wenu jifunzenj kutoka kwa Wazoefu wa Mashindano ya Kimataifa Simba SC hamtaki.

Taarifa ikufikie kuwa kuna Tetesi kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga Kuongeza Bei ya Tiketi kwa Mashabiki kuingia Siku ya Jumamosi.

Wakati Mashabiki wa Safiri Kigali Kisifasifa na Kishamba FC wakiwa Wameshazoea kuingia kwa Buku ( Tsh 3,000/= ) Tatu au Kuingia Bure ( Fungulia Mbwa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi sasa kama Shirikisho la Soka Rwanda na CAF hawatoingilia Kati basi kila Shabiki atalazimika kulipia Shilingi Laki Moja ( Tsh 100,000/= ) kwa Tiketi.

Kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyowajua Mashabiki wa Timu hiyo walivyo Masikini ( Choka Mbaya ) Kifedha na Kimaisha pia upo Uwezekano 99% yao wasiweze Kuingia Uwanjani ( Pele Stadium ) kuangalia Mechi yao na wakabakia katika Mabasi yao wakimsikiliza Hassan Mvula akiutangaza Redioni na Wengine wenye Simu wakiangalia huko huku Wengine Wakiwadoea Kuangalia na Midomo yao ikipiga tu Miayo kwa Njaa Kali.

Taarifa kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan imepanga kufanya Umafia huu ( ambao GENTAMYCINE nimeubariki na naupenda ) imeripotiwa muda si mrefu katika Kipindi cha Sports Bundle cha 107.3Mhz UFM ( Azam Media ) muda si mrefu na Mimi ni Mjumbe tu hivyo kama kuna Mtu ataichukia basi awakasirikie Wao ( Walioileta ) na siyo Mimi.

Safi sana El Merreikh FC mmenjfurahisha.
Bei ya tiket aiwezi kupandishwa kiholela ivyo kama unavyodanganya hapa, iyo sio michuano ya ndondo cup aisee acha ulongo!
 
Huu uzi umeandikwa kishamba shamba
 
Back
Top Bottom