Viongozi wetu wako busy kutumikia wazungu sio sisi wamatumbi wenzao.
Duh yani shambani na mkeka na door-mat, huyu ndo mtoto wa mkulima, ndo babake alivyokuwa analima huko kwao? kwikwikwi
View attachment 50779
Hapa yupo na Mzungu....... kisa mzungu hakutaka kukanyaga kanga wala mkeka........
View attachment 50780
Hapa Akiwa na Wamatumbwi....atadai mkeka...kanga...nk eti asichafuke....usanii mtupu!!
Duh jamaa kanikumbusha suruali za mchelemchele za 1980s