Huku mishahara imetoka nyongeza ni tsh 44,511/= huko kwenu vipi?

Maberere

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
316
93
kwangu imesoma hivyo vipi huko kwenu,,? hii ni kwa mtu mwenye degree nazani cheti na diploma watakuwa wamepata nyingi kidogo.:bange:
 
Dip wamepewa ngapi isije kuwa ile sms iliyokuwa inasambaa ni ya kweli maana kama kweli wameongeza hiyo basi dip wanachezea parefu
 
wadau habari zenu!naomba kujuzwa kwa waliopata mishahara'ongezeko ni sh? kwa degree ya education' kama huna taarfa pita bila kudhuru
 
Kama ni kweli vijana hatuna budi kujiajiri ama kuwa na plan C kabsa, yani mbwembwe zote kumbe icho ndo walichoongeza!
 
Back
Top Bottom