HUJUMA kwa Siyoi.. Hujuma kwa Chama

Ccm chama cha kinafiki na wanafiki wote wamejaa huko........hakuna mwenye uchungu na nchi hii kutoka ccm...........wote ni walewale hata aje nani...........wote ni chukua chako mapema (ccm)

kwanza Mtu kama Sendeka ni anafanya unafiki wa hali ya juu! Yeye na mamvi ni ngome mbili tofauti
 
Wapi Rejao na Ritz...

Habari ndio hiyo. Ngojeni picha za Wassira akiuchapa usingizi bungeni zitinge Meru ndio mtaona ubaya wa maji taka. Wanaconcentrate kwenye majitaka ili wana Meru wasijue nini hasa Siyoi atawafanyia wana wa Meru na hivyo wamkatae. Vita ya panzi hiyo...
 
Kumbe tupo wengi ambao hatujaelewa, mimi nakomaa nayo hadi nipate ujumbe.

Pamoja na mwandishi kutumia kiswahili kilichopindapinda (kama siyo kigumu), nafikiri ujumbe unaeleweka na kauweka bayana.

Kwa ufupi, Wachawi wa Sioi na CCM ni wana CCM wenyewe, kuanzia Mkapa, Wasira, Ole Sendeka, Lusinde, ..... wote wanaelekea kukibomoa chama badala ya kukisaidia. Mwandishi anajaribu kukionya chama na Mwenyekiti wake!!
 
Wengine ndani ya CCM ni Kama maboga, wanapinduliwa Mara Leo huku Mara Leo kule.. Hawajui chochote kinachoendelea.. Wanamakamaka tu, hawaelewi Wala hawaelewi kipi hawaelewi.. Wapowapo tu.. Mie muda wa kuvurumshana nao niupate wapi.. !! Hawa ndio wataotusumbua baadae Kwa presha, BP Na magonjwa Mia siku wakisikia CCM RASMI imekabidhiwa talaka Na wananchi.. Nikikuuliza- mama porojo utajibu Hilo haliwezi kutokea.. Umekariri vibaya.. Mwana mapinduzi wa kweli ni mzalendo Yule anasiyepikwa Na ujinga Wa kuhesabu faida Bali hasara Na kujitahidi kugeuza hasara hizo Ziwe faida by the way tunasema ukitaka ufanikiwe unahitaji marafiki ila ukitaka ufanikiwe zaidi unahitaji maadaui..sasa mwenzetu wewe CCM hutaki kujifunza Na hutaki kujirekebisha..
 
Kwa kifupi mwandishi anaelezea sabotage inayofanywa na timu ya kampeni, wewe mtu anasema mchagueni ili asaidie familia inaingia akilini kweli si kuwatia hasira wananchi wenye familia zao, mwingine anasema hatutaki watu wa Mara watuchangulie wakati Wassira naye ni wa huko huko, mwingine anazidi kupigilia msumari kwenye kidonda cha Mkapa na VN hizo zote hamuoni kuwa ni hujuma. Lakini kama mtu umekunywa maji ya bendera ni vigumu sana kuona kama hizi ni hujuma.

Reading and understanding are two different things !
 
Tayari ccm imeshashindwa inasubiri nini? bora wajitoe kuliko kusubiri aibu. Ushauri wa bure ccm jitoeni kwenye uchaguzi huo, maana maadui mnao ndani ya chama chenu.
 
Kwani kuchangia lazima ukopi thread yote?
wengine tunatumia mchina bana tusameheni.

Mada imekaa penyewe na jamaa kamaliza kila kitu.
 
kwanza Mtu kama Sendeka ni anafanya unafiki wa hali ya juu! Yeye na mamvi ni ngome mbili tofauti


Kishaona hali ya upepo siyo.
Mamvi akiteuliwa na chama chake kugombea urais, unafikiri huyo mchumia tumbo atakuwa wapi?

Kishaona effect za mwaka 2005 kati ya kambi zilizokuwa against Kikwete jishi walivotupwa jalalani.
 
angalao nimepata mwanga, ngoja ni i sev nitairudia tena badae, lazima nipate siries hapa ya kumwadisia mchizi wangu kijiweni, big up mkuu analysis imetulia, bila hao vilaza wataona hii thread,
zidumu fikra za mwalimu.........
kidumu chama chetu.........
nyambaaaaaaf,,..........tupa kule hao magamba
 
Hapa unamwandikia huyu huyu baba mwanaasha? siku hizi kaanza kuwa msikuvu?
 
sijakusoma kabisa labda ulidhamiria tusipate ujumbe uliotaka kutueleza.

waliomuelewa endeleeni mimi najitoa.

Wote waliojivua ufahamu hawawezi kumsoma SALMA2015.
CCM ni kama nguruwe anayetafuna mtoto wake wa kumzaa.
Tulianza na Mungu, Tunamaliza na Mungu.
 
Kibunango leo nakuona ila mchango wako siouni!

Bora Mzee alijiopolea vimwana vya kitswana na kujipumzikia zake tu huko Milimani. Chama hiki sijui vipi tu.
 
By the way,

Nimelipenda hilo jina...Benja! Limenikumbisha mbali huko nyumbani jinsi tunavyokatisha majina! Salma usalama upo lakini?
 
maandishi haya yanaweza kuwa ya kweli kwa sababu katika hali ya kwaida haiwezekani yatokee yaliyotokea
 
Wanamagamba hii kitu ya Salma mama Mwanaasha imewagonga kubaya, wanaonekana pale chini wanausoma huu uzi lakini hawachangii. Mnaona ni bora kumtetea Adam Malima na Dr Mponda kuliko kutetea chama!! Huu ni ushahidi tosha kuwa ccm kila mtu yuko kimaslahi zaidi.
 
watu wana siri,cjui botswana,cjui makinda mawili,aya bwn. Wasira n co.kumnadi sioi kwa kusema mpe ubunge afutwe machozi mnazidi kumwaribia asiyeoa,japo hapati kura yangu ila hata wapiga kura wenzetu wa mlengo wenu wanawashangaa nyie eti watoe kura ili jamaa afutwe chozi,ubunge ni kifuta chozi?endelea ivo ivo ili nasari apete!
 
Back
Top Bottom