DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭.

17011557036645193744961828192088.jpg

Mtandao wao mbovu mnoooooo

Athari zake :
1. Mgonjwa anaeza zimia bila huduma ya haraka
2. Unapoteza muda bila mafanikio
3. Karaha kwa mgonjwa na muuguzi
4. Kulipa mara mbili ikiwa umerudi bila huduma siku ya kwanza

Kero hii ni kubwa mnoo
 
Nchi hii imeoza kama vitu vidogo kama hivyo vinatushinda, hospitari zote za, serikali ni madudu matupu, zamani, kufatilia driving licence, malipo ilikuwa shida, sasa hv, wamejitahidi, kwanini mfumo huo, wa kulipa kwa control number, usitumike mahospitarini? Sekta ya ussfieishaji sasa hv unafanya booking na kukata ticket kwenye mtandao, kwanini hata mahospitari yasiwe na mfumo kama huu? Unafika hospitari, unalipa kumuona dokta,unapata number, automatic, ukifika muda, number yako imatokea, kwenye bango,unaingia kwa dokta,
 
Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭.

View attachment 2827248

Mtandao wao mbovu mnoooooo

Athari zake :
1. Mgonjwa anaeza zimia bila huduma ya haraka
2. Unapoteza muda bila mafanikio
3. Karaha kwa mgonjwa na muuguzi
4. Kulipa mara mbili ikiwa umerudi bila huduma siku ya kwanza

Kero hii ni kubwa mnoo
Unawalaumu bure tu hawa watu. Hivi ni hospitali gani ya Serikali hapa nchini Tz inatoa huduma za afya ambazo ni nzuri na bora??
 
Back
Top Bottom