HTC Chacha for sale

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Wakuu,

HTC Chacha iko sokoni, nimeinunua mpya nimeitumia miezi 4 iko katika hali nzuri inafanya kazi kama kawaida.
Bei ni Tsh. 550,000

Vifaa vyake vilivyokuja navyo ni

1. Charger
2. Get started Manual
3. Earphone
4. Protective cover - Bluu

Waliokuwa interested plz call 0784/0715/0773 418866

Specification zake hizi hapa HTC ChaCha - Full phone specifications
 
Attachments

  • photo.JPG
    photo.JPG
    58.3 KB · Views: 73
  • photo (3).JPG
    photo (3).JPG
    66.3 KB · Views: 47
Ni simu nzuri sana; lakini kwa nini kuibiana hela? HTC Cha Cha Mpya kabisa ni $250 (400,000/=) kwa pesa za Tanzania. Sasa wewe umeitumia ya kwako kwa miezi minne uaniuza 550,000/=? Acha wizi wa ki-CCM!!
 
mkuu hapa mshikaji mpya na one year warrnt kwa 245 dollas
 
Ni simu nzuri sana; lakini kwa nini kuibiana hela? HTC Cha Cha Mpya kabisa ni $250 (400,000/=) kwa pesa za Tanzania. Sasa wewe umeitumia ya kwako kwa miezi minne uaniuza 550,000/=? Acha wizi wa ki-CCM!!

Nashkuru mkuu kwa kuniita mwizi.

ungecomment kuwa bei ni kubwa ukatoa ofa yako ungepungua nini?

Ustaarabu kitu cha bure............
 
Back
Top Bottom