How Women Fool Men!!!

Haya tena Jamani, Jioneeni wenyewe myashuhudie kwa macho yenu!! Jinsi mnavyochunwa mchana kweupeeeee!!, nimekuwekeeni

msije mkaniuliza source, wenye kupenda .......

hahahahhahahahhahhahaha.....umenichekesha sana mbavu zangu...Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Mbona Golden Mpoleeee alisema pia kuna wanaume wanaazima VX kwenda first date? basi ndio hivo, kila mtu fake, pretending to have what he/she doesn't have.
 
Nimekuchekshaaa!!
Boflo eti kwanini wanakuita bwabwa?.........au mimi sielewi maana yake? halaf kama ni utani na wewe ni me please kataa hili swala waswhili wanasema ....."wimbo mbaya haombolezewi mwana". Hayo ni maneno yangu tu. nisamehe kwa kuingilia personal interest
 
Last edited by a moderator:
Boflo eti kwanini wanakuita bwabwa?.........au mimi sielewi maana yake? halaf kama ni utani na wewe ni me please kataa hili swala waswhili wanasema ....."wimbo mbaya haombolezewi mwana". Hayo ni maneno yangu tu. nisamehe kwa kuingilia personal interest

Kama unaogelea mtoni akatokea mtu kuiba nguo zako, na mimi nianze kumfukuza nikiwa uchi....watu watajua

mimi ni chizi, ni bora kutumia hekima mkuu.... I hope u got me!
 
Back
Top Bottom