How to Dine free in a Luxury Hotel

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Jamaa alikwenda hoteli ya kifahari akaagiza mlo wa kufa mtu (biriani, samaki wa kukaanga , saladi, mkate, mvinyo....).
Alipouliza bei akaambiwa ni Tzs. 89,000 +VAT
"Na saladi pekee bei gani? Akauliza.

"Saladi, mkate na mvinyo hivyo ni vya kusukumizia mlo tu, ni bure".

Jamaa akala saladi,mkate na kunywa mvinyo, halafu huyoooooo, akanyanyuka na kutaka kuondoka.

"Mbona hulipi mzee"'

Nilipe nini na nimekula ulivyoniambia ni bure? - Kwa heri
 
Kuwa makini sana mkuu.Hoteli nyingine ukila halafu ukakataa kulipa wanakusukuma kwa nyuma wakati wa kutoka mlangoni!
 
Back
Top Bottom