How to calculate makisio ya siku ya kujifungua?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Wana JF, naomba mnielekeze namna ya kujua tarehe (makisio)ya mwanamke kujifungua. mfano. mara ya mwisho aliona siku zake tarehe 20 januari 2010. nitawezaje kukisia?
 
kuna kitu kinaitwa EDC(Expected Date of Confinement) amabayo huw inakuwa -calculated as:
EDC=20 (+ 7DAYS) januari (+ 9 MONTS) 2010 =27TH OCTOBER 2011

hIVYO BASI Mhusika atakuwa tayari kujifungua by this time the following year
27TH OCTOBER 2011
 
kama mwanamke tareh ya mwisho kuingia period ilikuwa 9/6/2016 je matarajio ya kujifungua itakuwa lin?
 
Mkuu hii mimba itakuwa NA mwaka mmoja NA miez Tisa sasa.
 
Najua kuwa suluhisho kumpeleke hospital but kuuliza humu ntaka kujua ,ila kama wew huna utaalamu kaa kimya tuwasubir watakao jibu
Usijar mkuu iko HIV; hii ni formulae, kwenye tar yyte siku zote tunaongeza saba(+7) ....kwenye mwezi ikiwa mwez wa 1,2,3 tunaongeza Tisa kwenye mwez(+9) NA ikiwa 4,5,6,7,8,9,10,11,12 tunapunguza 3(-3) kwenye mwezi kisha kwenye mwaka tunajumlisha moja...yaan kama ilikuwa 2010 basi ukiongeza moja inakuwa 2011....mfano huo wako LNMP ni 9/6/2016 hivyo EDD itakuwa 9+7=16(Date) .....6-3=3 month.....2016+1=2017 yr....so Expected Date of Delivery will be 16/3/2017

Back
Top Bottom