How Tanzanians request songs on radio-Mimi Mkenya siamini.

AlWatan Nyuki

New Member
Jan 10, 2012
4
10
How Tanzanians request songs on radio-
Kuswahilisha kila jambo (eti ya kweli hayo?)

Samahani naomba kuagiza nyimbo zifuatazo:

1.Duka la pipi-senti hamsini (yaani candy shop ya 50cents)
2.Mnunuzi wa kioo-senti hamsini (yaani window shopper ya 50cents)
3.Chini ya mwavuli wangu-rihana (under my umbrella)
4.Jumba la wahuni-tupaki shakuri (thug mansion-Tupac Shakur)
5.Egemea nyuma-joe mnono (lean back-fat joe)
6.Dunia mzunguko-richie viungo (world is a cycle-Richie Spice)
7.Fagia- ndovu mwanamme (sweep-Elephant man)
8.Niko na hisia-pisi jicho nyeusi (i have feelings-black eyed peas)
9.Inama inama ya Ara dii Eksi (bendova bendova-RDX)
Mwisho ningependa unichezee wimbo wowote wa Snupu Kijibwa(snoop dogg). DUH!
 
Ha ha ha, hii siyo joke. Na ndio maana waTZ wameamua kubaki kusikiliza bongo flava hizo zingine hawawezi kutamka
 
Si ni tafsiri yake kuna ubaya gani ulitamka kwa luga ya nyumbani?
 
Back
Top Bottom