U just tell him/her the truth if is the matter of money or its absence and u can ask him/her if to buy its close substitute will be ok if any,,,watoto siku hizi hawadanganywi
eleza mtoto ukweli,dunia ya sasa si ile ya jana!mimi siku zote huwaambia watoto wangu ukweli,kama siwezi kumnunulia kwa sababu nimegundua kina madhara kwake nitamwambia,kama sina pesa namwambia au namuahidi nitampa baada ya muda flani,inategemea lakini ukweli ni mzuri hasa katika kumjenga mtoto pia.mfano first born wangu 6yrs alimuliza mama yake hivi mum watoto wanatoka wapi,mum akamdanganya wiki moja baadae mtoto alikuja kutoka shule ni mkali anamuliza mama yake kwa nini alimdanganya?akamweleza jinsi mtoto anapatikana!tuwe wa kweli kwa watoto hata kama si kwa vitu vyote lakini pale inapobidi ni vizuri
Inaumiza ila mwambie tu ukweli na uoneshe kweli huwezi. Sio umemwambia sina hela ya chokoleti baadae anakuona baba unameagiza serengeti zako za kutosha.
Pole my dear .. ni situation ngumu sana hiyo .. lakini cha muhimu naona ushauri mwingi umepewa umwambie ukweli
mie binafsi nitamwambia ukweli+uongo= :decision:
namaainisha sintomwambia mtoto wa miaka mitano .. ukweli mtupu.. (eti samahani Juma, baba/ mama hana fedha kwenye bank) hiyo haita kaa itokee not in my clock.. ntachanganya changanya kidogo ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.