how are you ??

hahahahah hilo sikio duuhhh
nalione huruma kwa kweli..
na hiyo rubber band haikatii mishipa ya damu kweli ??

Sikio lishazoea ila huwa linabadilishwa kila mara
rubber band huwa inalegezwa kiaina ili isimumize kichwa au mishipa ya uso
Sometime ukitaka mambo yawe mazuri uumie kidogo
bado niko kwenye research kutafuta njia nzuri zaidi za kuishikilia simu
 
dahhhh yaelekea kwenye idara ya vyakula upo mami safi...
mi ukinipeleka huko morroco au Turki napenda kababs .
sababu usema ukweli sija experience kupika vyakula vyao sana
bali kula hotelini hapa na pale tu...napenda tacos (Mexico) quick fix ..
itabidi unipe shule kidoncho hahah lol

Mie kula out ndo moja ya staarehe zangu. Karibu nitaenda bankrupt! lolz

Ila vya Ki-Morocco sio vigumu kupima ukisha kuwa na lile sijui sufuria sijui chungu chao.

tajin.jpg

Kila kitu unakijaza chunguni, unapika dakika 5 unaacha kijipike.....Burdaaan
 
Mie kula out ndo moja ya staarehe zangu. Karibu nitaenda bankrupt! lolz

Ila vya Ki-Morocco sio vigumu kupima ukisha kuwa na lile sijui sufuria sijui chungu chao.

View attachment 40490

Kila kitu unakijaza chunguni, unapika dakika 5 unaacha kijipike.....Burdaaan

hahahahah bora hata wewe unaenda kukaa hotelini unakula..
Hotelini mi mara chache...
ila na tabia mbaya sana ya ku "drive thru"

hicho chungu ndo kiko kama slow cooker au??
 
Sikio lishazoea ila huwa linabadilishwa kila mara
rubber band huwa inalegezwa kiaina ili isimumize kichwa au mishipa ya uso
Sometime ukitaka mambo yawe mazuri uumie kidogo
bado niko kwenye research kutafuta njia nzuri zaidi za kuishikilia simu

hahahahahahahahah lol
nimecheka jamaniii dahhhh..
nimekosa cha kusema kwa sasa daaa...
 
sasa wewe umependeza hivo dahhh
mi siendi swimming na wewe..
we upige bikini, mi ni vae huu
mjinsi wangu na jacketi kwenye beach..
haikubaliki hahah lol

nitakuletea kivazi....najua unapenda cha pisi mbili...unataka cha punda miliamilia au chuichui....
 
hahahahah bora hata wewe unaenda kukaa hotelini unakula..
Hotelini mi mara chache...
ila na tabia mbaya sana ya ku "drive thru"

hicho chungu ndo kiko kama slow cooker au??

Enhee kaa slow cooker ila humo hutii maji (au kidogo sana) coz mvuke unarudi humo humo ndani.

bora hiyo yako, hii ya kwenda restaurant kila siku unaweza kufilisika kweli!
 
nitakuletea kivazi....najua unapenda cha pisi mbili...unataka cha punda miliamilia au chuichui....

kile cha tembo tembo ili haya
manyama uzembe yasionekane..
sasa saa ngapi tunaenda??
 
Enhee kaa slow cooker ila humo hutii maji (au kidogo sana) coz mvuke unarudi humo humo ndani.

bora hiyo yako, hii ya kwenda restaurant kila siku unaweza kufilisika kweli!

ahhh ok. Napenda kujaribu vitu vipya...
nkipata muda hii weekend ntapika nikuwekee
kwenye JF food section ... Hopeful ntapata muda..

dahhh hiyo ya hoteli balaa..
sijui unaanza na on tray, then main halafu pudding.....
ahhhh ni bora kwenda na cash kuliko kutumia card.
lol..
 
dahhhh utanifanya niote
angelic tena sante my dear ..
good to see you..
Hujambo lakini??

uote tena?why?
karibu sana....hivi unajua wewe ni mmoja wa watu
ambao always 'yuko na positive energy' humu?????/
mtu ukiwa down. ni bora awe karibu na wewe...
ata recover faster.....i mean it...
 
uote tena?why?
karibu sana....hivi unajua wewe ni mmoja wa watu
ambao always 'yuko na positive energy' humu?????/
mtu ukiwa down. ni bora awe karibu na wewe...
ata recover faster.....i mean it...

mmhh ntaota sababu imetoka kwako .. lol
wao ulichosema hapo juu nimeweka moyoni
sante sana..."Karibu baadaye kule"....
 
Afro D, hebu tuombe tenda ya kupika soro la Boss kwenye mnuso wake ulotangazwa hadharani :]]

Boss vipi usituangushe

ahhhh atupe hiyo tenda asitupe atajaza bana..
itabidi tuchuue kwa nguvu .. Nadhani ameona
mtiririko hapo juu kutoka Morocco mpaka Mexico...

Boss sema tu wataka nchi gani ..
maana Gaijin yuko tayari ...
 
Back
Top Bottom