How a man handles u!!

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,296
7,666
Utamchukuliaje mpenzi wako anapomtreat mtu mwengine wa jinsia tofauti vyema na kwa ukarimu zaidi kuliko anavyokutreat wewe?
 
inategemea ni nani,
kama mamake au mtoto wake ni sawa tu
 
Ntachukulia huyo anayetritiwa vizuri ndo anapendwa zaidi..so ntaongea nae kumuelezea how i feel asiponipa majibu ya kuridhisha then nitajiweka pembeni kuepusha msongamano.
 
Ni wazi kabisa kuna vitu anafanyiwa ambavyo wewe huvifanyi! Jaribu kufanya study ndogo ni katika matukio gani anapo mtreat huyo mtu baki vizuri............... then taratiiiiiiiiiiiibu bila yeye kugundua mfanyie, then upime kama treatment itakuwa the same!Naomba kuwasilisha!
 
mimi nikiongea tu na mtu mwengine sana wa jinsia Tofauti yeye ataudhika sasa ..wakati yeye anatrit wengine vizuri kuliko mm au ndo anataka kujionesha kama na yeye mkarimu!!
 
Back
Top Bottom