Houth washambulia meli ya Marekani na Cruise Missile

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
Houth wa Nchini yemen wameiahambulia meli ya kivita ya Marekani kwa makombora na kuonya kua itazamisha meli za US na UK na yoyote atakaye toa anga lake kwa magaidi wa US na UK watakua vitani na wao

BREAKING:

Yemen's Houthis launched cruise missiles towards US navy ships.

“If you open your airspace to US and UK, you will officially be at war with us.” - Houthis warned Saudi Arabia, Qatar and UAE.
#Yemen
IMG_20240112_095247.jpg
 
#YemenView attachment 2869404
Tayari timeshaingia phase ya pili ya vita la hamasi na Israel, ila hao Saudia na UAE ni wanafiki dumila kuwili ndo wataumia zaidi kwasbb watashambuliwa tu.
 
Wakitaka wapate mafanikio mapema basi wazipige hizo Saudia,Qattar na UAE kwa kutoa anga zao ili zimpige yeye ndugu yao.
Wasiishie kuzilenga meli za Marekani na UK peke yake.
Wapige mpaka ndege za Qattar ambazo nyingi zinapita hapo Yemen
 
"After #Lebanon and #Yemen,#Oman jumps into #Gaza war against #Israel and #America!"

A truck of drones was going from Pro-Israel #UAE to South Yemen for anti-Houthi forces.Oman caught that truck!
#Houthis said yesterday that the US and Israel, UAE, and anti-Houthi forces in South Yemen, will themselves attack non-Israeli ships passing through the Red Sea with drones as part of a conspiracy and put the blame on Yemen.
#FreePalestine
IMG_20240112_101740.jpg
 
Tayari timeshaingia phase ya pili ya vita la hamasi na Israel, ila hao Saudia na UAE ni wanafiki dumila kuwili ndo wataumia zaidi kwasbb watashambuliwa tu.
Saudia hatashambuliwa mzee mara hii labda saudia ashambuliwe na shost zake marekani na Uingereza

Ila mpaka jana baada ya mashambulizi dhidi ya houthi saudia alikua wakwanza kutoa tamko kuitaka Americant ama iache ama ijizuie na inachotaka kukiendeleza kule yemen labda aje abadilike baadae

Yaani saudia na uae wanajua walichokua wanafanywa na hao yemen hawatamani hata kuhost hayo majeshi yaipige yemen maana yanajua kama nawao watachakaa kama zamani

Majeshi nasikia yameekwa syprus kule ndio wanatuma ndege zinakuja kushambulia yemen

Yemen imesema nchi yeyote itakayo waeka wavamizi itatwangwa na makombora yao ila sijajua kama wana makombora yakufika syprus
 
"After #Lebanon and #Yemen,#Oman jumps into #Gaza war against #Israel and #America!"

A truck of drones was going from Pro-Israel #UAE to South Yemen for anti-Houthi forces.Oman caught that truck!
#Houthis said yesterday that the US and Israel, UAE, and anti-Houthi forces in South Yemen, will themselves attack non-Israeli ships passing through the Red Sea with drones as part of a conspiracy and put the blame on Yemen.
#FreePalestineView attachment 2869438
Nchi zote za mashariki ya kati ziwe makini zisitoe msaada wa kuleta machafuko kwenye nchi zao na nchi za jirani kwa faida ya mabeberu huku wenzao Gaza wanauliwa kila siku
 
Wakitaka wapate mafanikio mapema basi wazipige hizo Saudia,Qattar na UAE kwa kutoa anga zao ili zimpige yeye ndugu yao.
Wasiishie kuzilenga meli za Marekani na UK peke yake.
Wapige mpaka ndege za Qattar ambazo nyingi zinapita hapo Yemen
Sijajua Qatar ila uae na saudia mpaka sasa hawajashiriki kwa namna yeyote dhidi ya houthi labda wawe wanafanya kisiri siri huko hapa sawa

Mpaka sasa anaesemekana kujiunga moja kwa moja ni Bahrain kwa hapo ME
 
Saudia hatashambuliwa mzee mara hii labda saudia ashambuliwe na shost zake marekani na Uingereza

Ila mpaka jana baada ya mashambulizi dhidi ya houthi saudia alikua wakwanza kutoa tamko kuitaka Americant ama iache ama ijizuie na inachotaka kukiendeleza kule yemen labda aje abadilike baadae

Yaani saudia na uae wanajua walichokua wanafanywa na hao yemen hawatamani hata kuhost hayo majeshi yaipige yemen maana yanajua kama nawao watachakaa kama zamani

Majeshi nasikia yameekwa syprus kule ndio wanatuma ndege zinakuja kushambulia yemen

Yemen imesema nchi yeyote itakayo waeka wavamizi itatwangwa na makombora yao ila sijajua kama wana makombora yakufika syprus
Cyrprus wawachie Hizbullah.
Hizbullah mpaka sasa imejizui lakini ina uwezo wa kupiga meli zinazoelekea bandari ya Haifa zinazopita mferejji wa Gibraltar na droni zao zinafika mpaka Cyprus.
 
Aaah kama hapa sawa

Cyprus nayo inatakiwa ipelekewe moto kwa kweli

Kila anaeshiriki kwanamna moja ama nyengine madhila dhidi ya wapalestine wa ghaza anatakiwa naye aonje uchungu wa anacho kifanya

Kati ya Hizbullah na houthi yupi yupo na nguvu kuliko mwenzake?
 
One of the craziest thing US na UK walichofanya ni kuipiga Yemen,Yemen hawakutaka vita na yoyote wao walikua wanawapa hard time Israel ili wasitishe vita tu,,,sasa hawa evil beings wanaingilia ili vita iendelee kufany mambo magumu naona wana lazimisha tuingie kwenye WW3.
 
Umesahau houth walitangaza Vita dhidi ya USA na Israel?
 
Back
Top Bottom