House for rent

lifelines

Member
Dec 16, 2009
51
0
A recently redeveloped modern property of four
bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. Ununio Beach is next to Bahari Beach. The House is located 300 metres from the Beachfront and 200 metres from New Bagamoyo Road. There are passable 3 roads to the House . The rent is 400 US dollars in Tanzania Shillings and is negotiable .
 
The rent is 400 US dollars in Tanzania Shillings and is negotiable

Hapa sija kuelewa mkuu. 400 USD in Tsh ndiyo maana yake nini?
 
The rent is 400 US dollars in Tanzania Shillings and is negotiable

Hapa sija kuelewa mkuu. 400 USD in Tsh ndiyo maana yake nini?

Duhhh...amequote in Tshs lakini kwa dollar nadhani anamaanisha hivyo. Kuwa rent ni dollar 400 lakini unailipa kwa Tshs. Hii nchi kila kitu in Dollars mbona jamaa wanataka kututeka hivi hivi hadi katika ku-control currency yetu kwa kuiua na kuiweka yao i-dominate!
 
Tatizo ni sisi wenyewe sio hao watengenezao dola!
 
Ghali sana kwa bei hii...na Hasa eneo lenyewe Ununio Mbali sana na Town...naona Jamaa hata skills za marketing hajui..maana tangazo japo dogo lkn lina miss a lot of information.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom