Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

Jamani Mimi naomba kuelewesha hasa na wanaomezeshwa hotuba pasipo kutafuna, hivi hii ni Serikali ya JPM au ni Uongozi wa JPM
Sababu Mara nyingi namsikia akisema serikali "yangu"
Hivi hakuna tatizo hapo ?
Kweli yeye anamiliki serikali ?
Tatizo lipo tena kubwa ndio maana inaitwa ONE MAN SHOW
 
Rais anajua ..munaopinga mtaisoma namba

Hajui huyu!!

Aaache hasira na mihemko isiyo na sababu. Ishu ndogo tu anapaniki utafikiri anaongea na wanafunzi wake shuleni

Hata wanafunzi deserve respect....ukiwakemea lazima wa -reitariate!!
 
Madhara yake ni makubwa...Leo kuna mahali kasema wizara ya takwimu
Acha tu Mshana nasikiliza hapa anataka kuuza majengo ya sirikali, Na analaumu sana demokrasia ya Hao Mabrberu. Anatukana mamba kabla ya kuvuka mto, Akamuulize Nyerere.
 
Sasa kila mmoja kama anatakiwa kufanya siasa eneo alilo chaguliwa bac JPM hapashwi kufanya siasa Dar sababu hwakumchagua. Aende tu uko dodoma au Chato.
Suo hilo tu, lakini pia inamaanisha vile vyama ambavyo havina uwakilishi haviruhusiwi kufanya mikutano mpaka 2020? Je vitapata wanachama? Kwa mfano kuna vyama viwuli vimeanxishwa majuzi, si vitakufa? Na msajili yupo na hssemi vhochote! Ningekuwa yeye msajili ningejiuzulu kwa sababu kazi yake itskuwa ngumu sana. Nasikia sasa hivi anawakimbia waandishi wa habari kwa sababu ansons aibu, hsjui cha kujibu!
 
Kauli za kibabe na kukomoana ndo mpango mzima kila mfano anaoutoa napata mashaka mara amsifie Saddam sana ina maana ndo role modal wake?
 
Aisee nimecheka sana kama kweli haya yamesemwa na Rais Magufuli!!

Yaani hata hajui kuwa Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Taifa wa chama cha siasa kama yeye!!

Daah, huyu jamaa kumbe si tu mweupe katika anga za kimataifa, bali hata mambo madogo madogo yanayomzunguka ndani ya nchi yake mwenyewe hayajui!!

Huyu bwana alipaswa kuachwa kuendelea kusimamia ujenzi wa barabara tu na labda kuhesabu samaki wa baharini....huko anaweza. Lakini kuongoza nchi is too much for him!!

Hakika tunapelekwa vichakani......

Kwa tamko kama hili ina maana hata Kinana (katibu mkuu wake wa chama) atakuwa amemfunga kufuli hakuna kutembea tena, eeeh si hana jimbo bhana, au vinginevyo atakuwa anazunguka jengo la Lumumba na Dodoma pekee kule makao makuu ya CCM!!!
Kinana ni katibu wa chama dola anayo ruhusa kuzunguka kote..
 
Unataka miaka kumi ijayo watoto wako waishi kwenye nchi yenye maendeleo au wasikilize hotuba?
Pathetic
Kwa hiyo wewe unategemea maendeleo yanaletwa kwa vitisho na kukurupuka? Hakuna hata mtumishi mmoja wa umma pamoja na wstendaji serikalini mwenye amani moyoni. Hayo maendeleo atayaleta Mzee wa pushup peke yake? Idiot!
 
Yo be honest, mh alianza vizuri sana. Sasa naona snaharibu kwa spidi ya mwendokasi! Dijui nini kimemkuta. Anaonekana ana hasira sana. He lacks statesmanship!
 
Huyu siyo wa kwanza ndugu.
Tulimsikia aliyepita akisema UKIMWI ni kujitakia. Kupata mimba (?) ni kiherehere. ukitaka kula uliwe, n.k. labda mfumo mzima wa uongozi ugeuke lakini kwa sasa kila anayepewa uongozi anajiona anajua kuliko yeyote. tangu juu hadi chini. Hata meneja wako tu, anagoma kushauriwa. LINI UTAMTUNGIA HOTUBA?
A
Huyu siyo wa kwanza ndugu.
Tulimsikia aliyepita akisema UKIMWI ni kujitakia. Kupata mimba (?) ni kiherehere. ukitaka kula uliwe, n.k. labda mfumo mzima wa uongozi ugeuke lakini kwa sasa kila anayepewa uongozi anajiona anajua kuliko yeyote. tangu juu hadi chini. Hata meneja wako tu, anagoma kushauriwa. LINI UTAMTUNGIA HOTUBA?
Hujaelewa mada ndg acha kutokwa povu bila sababu. Elewa mada ndio uchangie
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016


ccm wamefanyaga mistakes nyingi sana sana kabisa.
Lakini moja ya kubwa kabisa ni ya kumpa nafasi huyu jamaa.
Ni balaa.
 
Kinana ni katibu wa chama dola anayo ruhusa kuzunguka kote..
Hakuna mtu yeyote Tanzania hii anayehitaji kibali cha Magufuli kuzunguka ndani ya Tanzania.

Tukitoka nje ya Tanzania ni sawa tukipangiwa namna ya kutembea na si ndani ya ya nchi yangu.

Ila habari njema kwa wanaccm ambao mmezaliwa bila ubongo hii hapa.....

Wanasayansi waunda ubongo bandia Singapore audioBoom / Wanasayansi waunda ubongo bandia Singapore
 
Sasa ndio Nimemuelewa yule Prof toka unyakyusani kwanini alikuwa hamkubali huyu Jamaa kumbe aliona mbali lakini wengi wetu tulidhani jamaa anawivu
 
Back
Top Bottom