Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

Hawa wamerekani watakuwa hawajui demokrasia kama chadema, wanataka kumtoa Obama, wakati uchaguzi ulisha fanyika?
Maelfu Waandamana Marekani Kupinga Serikali ya Obama
3077090.jpg

Maelfu waliojitokeza jana kupinga utawala wa Obama
Maelfu ya watu wakibeba mabango yanayopinga utawala wa rais Obama na mageuzi yake katika mfumo wa afya anayotaka kuyafanya, waliandamana jana hadi katika maeneo ya ikulu ya Marekani.

"Utoaji mimba sio mageuzi katika Afya" lilisema bango moja huku bango jingine lililobebwa na mhamiaji nchini Marekani toka Ukraine lilisema "Nilishauchoka ujamaa kwenye muungano wa soviet USSR".

Mtoto Quinn Ryan, 11, alisimama katikati ya mtaa wa Pennsylvania Avenue, karibu na sehemu ambayo Obama na mkewe Michelle walitembea siku ile yenye baridi wakati Obama alipoapishwa kuwa rais wa kwanza mweusi wa Marekani.

Ryan alikuwa amebeba bango linalosema "Nimezaliwa bure, nitalipishwa kodi mpaka nitakapofariki".

"Hali mbaya ya uchumi imeathiri nyumba nyingi, imetubidi tuandamane ili hali isiwe mbaya zaidi" alisema dada yake Ryan mwenye umri wa miaka 13 ambaye naye alikuwa amebeba bango lake tofauti.

Maandamano hayo yalilenga kupinga utawala wa rais Obama na kukishtumu chama cha democratic kwa kutaka kuigeuza Marekani nchi ya kijamaa.

Maandamano hayo yaliandaliwa Freedomworks, taasisi inayopigania kushushwa kwa viwango vya kodi na uchumi huria ikipinga mabadiliko ambayo rais Obama anataka kuyafanya katika masuala ya bima katika mfumo wa afya wa Marekani.

Waandaaji wa maanandamano hayo walisema awali katikati ya wiki kuwa walitegemea kati ya watu 20,000 na 30,000 toka kila kona ya Marekani kuhudhuria maandamano hayo.

Maelfu waliitikia wito wa maandamano hayo wakiwa na mabango mbali mbali kuonyesha upinzani kwa rais Obama.

Waandamanaji wengine walibeba mabango yaliyosema "You lie" wakikumbushia maneno aliyosema seneta wa Arizona toka chama cha Republican, Joe Wilson ambaye alimwambia Obama muongo wakati alipokuwa akisoma hotuba yake kwenye bunge la kongresi la Marekani kuhusiana na mageuzi anayotaka kuyafanya kwenye mfumo wa afya wa Marekani.

Maandamano hayo yaliisha mapema kabla ya muda uliopangwa kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa sana kuliko uwezo wa eneo hilo.

Inakadiriwa watu milioni mbili toka kona mbali mbali za Marekani walihudhuria maandamano hayo
 
yaani mi kila nikikumbuka agenda ya BEI YA SUKARI napata kicheko, hebu fikiri wananchi wakipiga kelele bei ya maharage au bei ya unga au mchele imepanda, hotuba itakuwaje hapo?
Atatangaza fixed price ya Mchele/unga/maharage na atakayeuza zaidi ya hapo taarifa zimfikie anyang'anywe lesseni
 
Jk nchi hii imekushinda,achia ngazi,mbona hujasema kama mishahara itachelewa???? unaogopa nini??? waachie wenye uchungu na nchi yao washike hatamu uone jinsi sera zinavyotekelezeka sio porojo kila kukicha tumechoka!!!!!!!!!!!!
 
Katika hotuba ya mwisho wa mwezi huu Rais Kikwete alitumia muda mwingi
kutoa mahusia kwa wananchi kutowafuta chadema kwa kuwa ni wachocheni na wanaweza kusababisha
amani ya nchi kupotea,
aliwasi chadema kutumia bunge kuweka hoja zao na sio kutumia mikutano ya hadhara kwa kisingizio ni uhuru wao kuandama na kufanya mikutano ya hadhara , akizungumzia siku tisa alizopewa na chadema aliseama mambo wanayodai hayawezekani kutimizika kwa siku tisa, mambo hayo ni kutoilipa dowans, kuondoa mgao wa umeme na kupunguza ugumuwa maisha wa mtanzania, japo kikwete alikiri kuwa hali ya maisha ni ngumu lakini tatizo hiyo haliwezi kuisha kwa siku tisa,
naye mwenyekiti wa chadema (mb) mbowe hakiwa shinyanga amesema ameaona ni vyema kumjibu harka raisi kikwete kwamba maandamano yataendelea mpaka
kieleweke na kusisiza kuwa wao ni wachochezi serikani ya kikwete inangoja nini kuwakama na kuwafungulia mashitaka,
pia amesema yeye haopopi wala hatishi na mtu katika suhala hiyo la kuandamana na matatizo hayo yasipolekebishwa kuna siku wanaandamana na hawatarudi nyumbani tena kama huko tunisia na misri.

wakati ccm na chadema wakiwa katika malumbano hali bado ni ngumu na maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu na kunawezekano wa nchi kukubwa na janga la njaa mwaka huu kutoka na upungufu wa chakula kama serikari hato weka mipanga makini.
shwali linalobaiki vichwa mwa watanzania kama hali ni ngumu kwa nini serikali nayo isifunge mkanda katika matumizi ya hovyo kama hayo mashangingi vigogo wanayetumi kwenda mashambani kwao na kufanya shoping
kuna aja gani mwananchi kufunga mkanda wakati serikali ikitumbua tu hodi yao kwa matumizi ya vikao na posho, leo hii pc ya shilingi millioni 1 serikalini inanunuliwa kwa shilingi milioni karibu 4 hela nyingine vinakwenda kama posho kwenye vikao vya kujadiri hayo manunuzi
hakuna haja ya kupigani mikwara kwa sasa malekebisho yakifanyika kelele zote zitakwisha

source: www.lifeofmshaba.com
 
Mambo mmzalendo, unayosema ni kweli kabisa,

Lakini niwie radhi nikurekebishe kidogo kwenye kiswahili, kichwa cha habari yako kinasema Kikwete hatoa onyo kwa chadema na washirika wake inapaswa kuwa atoa sio hatoa,

hapo kwenye shwali ni shwari, aja ni haja na melekebishoo ni marekebisho. na mwisho suhala ni suala. Asante kwa muda wako

Tukirudi kwenye hoja, Kikwete anasema siku tisa hazitoshi kumaliza matatizo, kwani amekaa mjengoni kwa muda gani mpaka sasa, mbona anaongea kana kwamba ameapishwa day before yesterday? jamani maisha ni magumu sana kwa sasa na yanaendelea kuwa magumu zaidi.

Acha CDM na watz wampangie deadline maana inaonekana yeye na washauri wake hawana uwezo kwenye hilo, ndio maana anasema suki tisa hazitoshi kumaliza matatizo bila kusema siku ngapi zinatosha. inasikitisha
 
Mkuu angalia mstari wa mwisho hatuiti suki ila ni siku,anyways umedadavua ipasavyo ,big up
 
Mambo mmzalendo, unayosema ni kweli kabisa,
.....
Acha CDM na watz wampangie deadline maana inaonekana yeye na washauri wake hawana uwezo kwenye hilo, ndio maana anasema suki tisa hazitoshi kumaliza matatizo bila kusema siku ngapi zinatosha. inasikitisha
Mkuu Lukansola, JK alisema matatizo hayawezi kumalizika yeye atayaacha kama walivyofanya waliomtangulia, ninachojiuliza hiyo kasi zaidi , ari zaidi na nguvu zaidi ililenga kuwaletea maendeleo wananchi au kubandika mabango ya kumnadi JK wakati wa kampeni ???, maana tulishuhudia katika usiku mmoja jiji lote la Dar lilikuwa limebandikwa mabango ya kumnadi JK wengine wakadhani hata utekelezaji wa kauli mbiu utakuwa namna hiyo - LOL!!!!! - Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom