MDAU JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 451
- 82
Zingatia hapo nilipoweka red. Ni kweli kabisa wanasiasa wanawaona ninyi ni mabongolala ndo wanawadanganya ili mgome, ndugu zenu wafe, na wao wakiugua wanapelekwa nje. Kama kweli mna uzalendo na mnagoma ili haki itendeke, basi mngehamasisha mgomo kwa wafanyakazi wa sekta zoote nchi, hapo ujumbe ungefika kwa sababu serikali isingeweza kureplace wafanyakazi wa sekta zote nchini. Lakini kwa sababu ya ulafi wa wachache wanaodai haki yao wenyewe hamtafanikiwa ng'o! Take my word.
Hakuna hata moja la kuchukuwa hapo, ninachoshukuru ni kwamba at last umenielewa, na umerespond kuwa nilisema kuwa umefika wakati sasa watu wote tusimame tuseme hapana, siyo kada moja tu, asante kwa kunielewa, ujumbe umekuingia uzuri.
Nimegundua kumbe we ni mzima tu ila ulikuwa unajifanya chizi makusudi nami kwa kuwa niko makini nimebaini hilo.