Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

Nilikua nimewapa chadema siku moja mtoe maelezo kwanini mmempokeaLowassa asante m.kiti wangu umejieleza vyema na Lowassa kajieleza vyema kuhusu Richmond nimewaelewa vyema nishanoa kisu nasubiri kuchinja magamba october.

Lowassa huo ufafanuzi wako wa Richmond ulikua wapi kuutoa siku zote kwakweli nimeemewaaa Mungu akubariki sana.
#VivaChadema
#VivaCUF
#VivaNLD
#VivaNCCR
#VivaUkawa
#TanzaniaKwanza
#VivaUkawa
Ikulu hioooooooo nyeupe.
 
Nimeamini kuwa kiongozi bora sio lazima ujaze vyeti vya Phd nyumbani. Uongozi ni karama wanayopewa watu wachache sana na wanajua kuitumia.
 
Mbowe angekuwa ameteuliwa kugombea kwa tiketi ya Ukawa, tungeongea mengine sasahivi.
 
na sisi hatutaki anayejua kuongea kwan umesikia anaenda kuimba taarabu? umeshazoea viongozi wanaoongea kwa mipasho na vijembe kama wanawake? magufuli anajua kuongea? lakini si unamwona ni mara mia ya kichwa nazi ambaye hajui kuongea na mbaya ni kuwa hajui kuwa hajui kuongea. so anafanya mipasho tu na vijembe hana hata point.
 
Mwalimu wa uongo, leo kala matapishi yake mwenyewe!

Hivi mgonjwa ambae hata hawezi kuongea sawasawa tuliyemtema CCM leo kainunuwa chadema kwa fedha yake.
 
Nilikua nimewapa chadema siku moja mtoe maelezo kwanini mmempokeaLowassa asante m.kiti wangu umejieleza vyema na Lowassa kajieleza vyema kuhusu Richmond nimewaelewa vyema nishanoa kisu nasubiri kuchinja magamba october.

Lowassa huo ufafanuzi wako wa Richmond ulikua wapi kuutoa siku zote kwakweli nimehemewaaa Mungu akubariki sana.
#VivaChadema
#VivaCUF
#VivaNLD
#VivaNCCR
#VivaUkawa
#TanzaniaKwanza
#VivaUkawa
Ikulu hioooooooo nyeupe.

Mkuu umehemewa na nani???

Nway viva viva ukawa.
 
Back
Top Bottom