Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

kikwete hata udiwani wa chalinze asingepata angegongea sasa,kachemsha miaka 10mark time atatuambia nini?
 
Mmezidi kilalamika sana wanachi kila analofanya rais wenu si jema,mnasifia vya nje tu angeongea paul kagame wa rwanda msinge lalamika,mngeona ameongea point,tumeshafanya maamuzi kesho ni magufuli tu mmezidi na propaganda

we mwanamke una matatizo Kagame ni kitu kingine usipende kufananisha usingizi na kifo
kagame sawa na mlima Everest na kikwete wazo hill
 
Watanzania tuelewe tunachohit?ji sisi no mabadiliko ambayo ni muhimu kwa wakati Hui si vinginevyo na kwa hitakiji la mabafiliko kwa sasa ukijaribu kuzuia kwa lazima athari yake ni kubwa
 
kwa hakika watu nyie watu mnapaswa kukatwa kwakuwa hamjui hitaji lenu, naanza kuzikata comment zenu kisha nawakata nyie wenyewe na kesho namalizia kumkata huyo mananii wenu!! sisi tutakuchagulieni jembe huyo mgonjwa wenu atatibiwa bure.
 
Mmm jamani tusijifariji sana kwa sababu CCM Jana Tulisombelea sana watu jagwani pia leo mwanza tumesombelea wattu kuutoka sehemu. Balimbali za jiji
 
Sehemu aliyoharibu ni kumwambia Magufuli amkumbuke Dialo kwa kazi aloifanya kwa kupitia startv. Mambo ya kujuana na kulipana fadhila anataka yaendelee.
 
Kikwete amehitimisha kampeni za CCM mkoani Mwanza na kutoa hotuba ambayo huenda ikawa imeharibu taswira nzima ya ufungaji wa kampeni za Magufuli, kwa sababu imekosa HEKIMA, USTAARABU, UKWhELI na UKOMAVU.

Katika mazingira ya ushindani wa kisiasa uliokuwepo kwenye uchaguzi huu, kila kura ina thamani kubwa sana kwa sababu inaweza kuamua mshindi. Katika hatua hii ya mwisho kura pekee zinazotafutwa ni za watu ambao hawajaamua, na hili ni kundi la JAMII.
Sitaki kuamini kama kundi hili la jamii linaweza kuvutiwa na kuichagua CCM kwa hotuba ya MIZAHA namna hiyo.

Kwa ufupi kabisa, hotuba hiyo ya Kikwete ilijaa
1/Mipasho na vijembe dhidi ya Lowassa na UKAWA.

2/Sifa za kijinga kwa Magufuli na CCM.

3/Majigambo ya yeye kukaa madarakani.

4/Kejeli na dhihaka juu ya Afya ya Lowassa.

5/Kurusha mpira wa kashfa ya Richmond.

Bado Masaaa machache sana Mzee Wa nyeupe anaanza kuswaga Ng'ombe km hujui muulize Alisha sema mwenyewe. Wastno time to tink abt ccm cuz they ar untouchable.
 
Nchi hii ina shida nyingi

1.uwezo wa kuamua

2.Kutishwa wakati wa uchaguzi

3.Kuamini ccm ina nia njema wakati siyo sahihi

4.Kukumbatia mfumo mbovu wa ccm bila kujua kuna mbadala
 
Kikwete amehitimisha kampeni za CCM mkoani Mwanza na kutoa hotuba ambayo huenda ikawa imeharibu taswira nzima ya ufungaji wa kampeni za Magufuli, kwa sababu imekosa HEKIMA, USTAARABU, UKWhELI na UKOMAVU.

Katika mazingira ya ushindani wa kisiasa uliokuwepo kwenye uchaguzi huu, kila kura ina thamani kubwa sana kwa sababu inaweza kuamua mshindi. Katika hatua hii ya mwisho kura pekee zinazotafutwa ni za watu ambao hawajaamua, na hili ni kundi la JAMII.
Sitaki kuamini kama kundi hili la jamii linaweza kuvutiwa na kuichagua CCM kwa hotuba ya MIZAHA namna hiyo.

Kwa ufupi kabisa, hotuba hiyo ya Kikwete ilijaa
1/Mipasho na vijembe dhidi ya Lowassa na UKAWA.

2/Sifa za kijinga kwa Magufuli na CCM.

3/Majigambo ya yeye kukaa madarakani.

4/Kejeli na dhihaka juu ya Afya ya Lowassa.

5/Kurusha mpira wa kashfa ya Richmond.

Mungu kawanyima maarifa ili mnara wa Babeli usambaratike hivyo usishangae.

hapa ni lowassa tu.

hila aliyoifanya Kikwete imaimaliza kabisa ccm, Pombe itabidi umlaumu Kikwete kwa kukuaribia dakika za mwisho hasa alipomkejeli Lowasa kwa Afya yake akajisahau kama na yeye ni mgojwa wa tezi dume

Hats ikitokea wamejipa ushindi ,naamini Kikwete atafunuliwa nje ndani na wabunge mahiri was UKAWA

Mkuu tumesikia mbinu zao zote pale jangwani.....akiongalia hotuba za viongozi wa UKAWA atakimbia nchi.....tutapiga kura na kulinda kura maana nyumba zetu zipo ndani ya mita 200.

Kikwete kashindwa nchi miaka kumi anamsifia magufuli that hopless guy.Serikali ijayo kama huyu magufuli wake atashinda itakuwa worse

Ilitaka kuhutubia ww? Mbona hujawahi kumsaidia Lowasa kuhutubia?

Jakaya kazidi kumwaribia Magufuli..... Lowassa kamaliza kampeni vizuri sana, na kwa hakika Lowassa anapata kura yangu na familia yangu

Lowasa mbele kwa mbele

Anajisifu amejenga barabara,wakati wahsani ndio wamejenga.kinachoondoka ni kikubwa kuliko kinachoingia

Watanzania mlikosa rais
lowasa kamaliza kampeni zake vizuri kwa kuwaambia anawapenda wana dar? hiki ni kichekesho. hamjiulizi hata kwa nini hakuwepo jukwaani kuanzia mwanzo wa kampeni na amekuja dakika za mwisho na kuongea dkk 2 tu kwa kuwaambia anawapenda? kwani hapa tunahitaji mapenzi au kiongozi wa kututumikia?
hivi akili zenu mmezipeleka wapi? hamfikiriii?
naamini kabisa watanzania wenye kuitakia mema na nchi hii watatupatia kiongozi bora.
Between MAGUFULI ndo rais wenu ajaye. itabidi mvumilie tu hata kama itawauma.
 
lowasa kamaliza kampeni zake vizuri kwa kuwaambia anawapenda wana dar? hiki ni kichekekesho. hamjiulizi hata kwa nini hakuwepo jukwaani kuanzia mwanzo wa kampeni na amekuja dakika za mwisho na kuongea dkk 2 tu kwa kuwaambia anawapenda? kwani hapo tunahitaji mapenzi na kiongozi wa kututumikia?
hivi akili zenu mmezipeleka wapi? hamfikiriii?
naamini kabisa watanzania wenye mema na nch hii watatupatia kiongozi bora.
Between MAGUFULI ndo rais wenu ajaye. itabidi mvumilie tu hata kama itawauma.
Aliekuambia kuwa Lowasa kaongea dakika 2 ni nani? achana na mihemko
 
Mmezidi kilalamika sana wanachi kila analofanya rais wenu si jema,mnasifia vya nje tu angeongea paul kagame wa rwanda msinge lalamika,mngeona ameongea point,tumeshafanya maamuzi kesho ni magufuli tu mmezidi na propaganda

Mkuu Mko kwa makundi?
 
Kikwete ametupa sababu ya kwa nini tukamkate lowassa kesho

Kamkatae wewe na mamako.,kwa wanamapinduzi halisi huyo ndo mkombozi wetu..jinga mchumia tumbo wewe hata aibu huna..historia itakuhukumu.,ukianguka sasa hv mtt wako atabaki na sifa ya mpinga mabadiliko na mrudisha maendeleo nyuma!shame on you!!!
 
Back
Top Bottom