Makamura
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 356
- 550
Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali?
Pia bila kusahau TANESCO mnatutia aibu Umeme unakatika kwenye Mahoteli, na Process ya Kuwaka jenereta ni ndefu.
Aibu juu ya Aibu
Hizi Safari Hotels ziangaliwe upya, Taifa linawategemea kwenye kuwapa Malazi wageni alafu wanakutana na Drama.