Jamani kwa wenyeji wa mji kasoro bahari, naomba mnisaidie wapi nitapumzika na mamaa mjini Morogoro, weekend tulivu.
Jamani kwa wenyeji wa mji kasoro bahari, naomba mnisaidie wapi nitapumzika na mamaa mjini Morogoro, weekend tulivu.
Kitu kingsway hotel hapo morogoro kimetulia mkuu..hasa kwa wale tunaopenda utulivu na wazee wa low profile utapapenda...si unajuwa ukiwa na wive kitu cha utulivu matters the most...munapata nafasi ya kujadili penzi lenu na kukumbushiana honeymoon yenu....i wish wangekuwa na kiji-swiming pool....pangekuwa balaa sana aisee