Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,161
- 13,989
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.
Lakini wagonjwa wanaolipa cash wanapatiwa.
Tunaomba serikali itusaidie tutakufa wote.