YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza
Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali ya rufaa kuficha lakini ikaendelea kuwa makao makuu ya jeshi la Hamas hadi leo
Ndio maana waziri mkuu wa Uingereza Rish Sunak alitembelea Israel akawapa ramani tu pale kuwa pako hivi na hivi pale .Pambaneni mfike pale .Uingereza tupo nanyi
Sasa IDF wamewafikia makao makuu
Wamewazingira Hamas