Hongera wana JamiiForums

cicy

Member
Mar 5, 2011
25
10
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.
 
karibu sana JF cicy,utaizoea tu......JF ni kipimo cha uvumilivu
 
Nami ngoja nizungumze,mdomo usije ukanuka bure...Karibu sana jamvini!
 
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.

Angalizo, kuna wakati taarifa nyingine zinakuwa bias 100% either ccm au chadema hivyo usije ukakurupuka nawewe kuunga mkono hoja kumbe iko pro-chama fulani na wanao comments niwanachama au wapenzi wa chama hicho
 
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.

karibu jamvini,,,,,mchango wako unahitajika sana kukomboa nchi hii!!!!
 
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.

Karibu ktk jukwaa letu la umbea na udaku! hapa utapata habari zote za nimesikia!, kuna habari!, inasemekana!, na kuna tetesi kuwa masanduku ya kura yamekamatwa mpakani mwa TZ na Zambia!! au pia unaweza kupashwa habari za kuvuja kwa Siri za Serikali au nusu ya Usalama wa Taifa hushirikiana na Kiongozi mmoja muandamizi wa upinzani! wakati huo huo Usalama wa Taifa huisaidia Chama Tawala kuiba kura!!!

Karibu ndugu ktk jukwaa la kusifia CDM tu! hiki ni chama safi kabisa! tena kiko juu, juu, juu zaidi!!! na ole wako ujaribu kuponda hiki chama kwa hoja! matokeo yake utayaona mwenyewe baada ya ujumbe wangu!! angalia jinsi hawa mashabiki watakavyonishambulia!!!!
 
Ni vzr umegundua kuwa hukubaliki kwa hoja yako,na hilo sio tatizo lako bado ni mapungufu ya hizo sera unazoamini kwa sasa,bila kusema hivyo utaendaje msalani?
 
karibu sana,ila kule kwenye siasa usichukulie 100% sababu kila mtu anavutia kwake
 
karibu sana mjukuu,jisikie amani na kama unatatizo usisite kutuuliza.
 
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.

cicy karibu sana
 
Back
Top Bottom