4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 6,105
- 6,916
Kama hujawahi teuliwa mkuu na binadamu wenda siku MOJA malaika wakakuteua mkuu,hapo Kuna shida mkuu?Ni kwamba sijawahi kuteuliwa na siandiki ili kupata uteuzi ndio maana sikukuelewa pia kwa Nini Kila anayepongeza juhudi za serikali mnaishia kumvalisha kofia ya msaka teuzi?