Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,017
- 221,625
kwa mujibu wa vitabu vya dini laana ya usaliti huo itatafuna hadi kizazi chake cha 4 ! Mtu kama huyu hafai hata kucheza naye bao ; ni wa kutengwa kama ebola ametia aibu itakayodumu milele , naihurumia sana familia yake ..
Mkuu 2010 tukiwa tumemsaidia Dr.Kapwani kuchukua form ya Ubunge..akiwa amejaza kwa ufasaha kabisa...akatupiga chenga wakati wa kirudisha...
Tumekaaa mpaka 1645hrs hajatokea...Msimamizi Wa uchaguzi akamuongezea muda wa kurudisha lkn kimyaaa....Basi muda ukawa umeisha.
Mchezo huu ulifanywa na Lukuvi na Meneja Kampeni wake Jamaa Fulani anaitwa Ronjino Kayage,Wakamuhonga hela ya kutosha...Kwa Sasa Dr.Kapwani kapooza..sidhani kama atarudi 2015!