Hongera Mohamed Seif Khatib kwa kupata shahada ya uzamivu

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Japo hii thread ilitakiwa iende jukwaa la elimu ila nimeona niiweke hapa jukwaa la siasa kutokana na mtajwa hapo juu kuwa mwanasiasa.Nimefika leo Dodoma kuhudhuria mahafali ya mdogo wangu,nlipofika kwenye mahafali nilimuona Mohamed Seif Khatibu akiwa mwanafunzi wa kwanza UDOM kutunikiwa Doctor of philosophy in Kiswahili literature,wanafunzi wengine wawili watatunikiwa kesho.Nimejaribu kuulizia nikaambiwa alikuwa na supervisors watatu ambao ni Prof.Mlacha,Prof Madumla na Prof.Rubagumya.Hii inaonyesha kuwa wanasiasa wengine kama J.Kikwete msipende phd za heshima bali tafuteni kama wengine wanavyorudi darasani.
 
Khatib ni mmoja kati ya watu muhimu sanakwa taifa hili kwa uwadilifu na uwezo wake wa kufukiri katika taifa hili mungu ampe busara na hekima
 
Ningepata hofu sana km angetunikiwa ya kitu kingne ila kwa Kiswahili sipati shaka hata kdg!
hongera shemeji yetu wa tz bara
 
Ningepata hofu sana km angetunikiwa ya kitu kingne ila kwa Kiswahili sipati shaka hata kdg!
hongera shemeji yetu wa tz bara

Bravo Khatib, yuko vema sana kwenye fasihi, hasa ushairi. Baadhi ya diwani zake ni Fungate ya Uhuru na Wasakatonge.
 
Back
Top Bottom