Mheshimiwa Lissu ile nukuu ya Baba wa Taifa natamani iwe katika kila hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa wizara zote zilizosalia. Ombi pllease.
Lissu akiwasilisa kitu ni zaidi ya kusoma, ingependeza kama ungemsikia live! jamaa kwanza anayo sauti ya kuiwasilisha mada, na kuvuta hadhara... nenda utube uone live1! Bravo kaka lissu
Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani UWEZO,UZOEFU na UPEO wake ni mkubwa sana.Pia UMRI wake na UTANASHATI ni tiketi ya kupata KURA uchaguzi ujao.HOTUBA yake bungeni leo hakika Watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.Mungu mbariki TUNDU LISSU MZALENDO wa Tz.