Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,920
- 7,470
wewe unania ya kumdhuru mheshimiwa, wakati watu wanaangalia burudani wewe nini kinakusukuma kuangalia mapungufu ya ulinzi wa Mheshimiwa,unataka kuyatumiaje mapungufu hayo, kama mtu anausingizi unataka asilale kivipi? chochote kitachotokea siku yoyote ni wewe.