Hongera Jerry Silaa na Tibaijuka kukataa uholela katika miji

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,347
Anna Tibaijuka kuwa Mkurugenzi wa shirika la makazi la umoja wa mataifa kunamfanya kuwa mtu sahihi na makini sana katika suala la makazi na mipango miji. Hakuwa anabahatisha alipoukataa uhuni wa kuwekwa kituo cha mafuta sehemu isiyostahili katika mtaa wake. Wengine tunapaswa kuiga mfano wake, pia anafaa sana kuwa mshauri wa Rais katika mazingira na mipango miji.

Jerry Silaa usirudi nyuma kutaka viwanja vyote vinavyouzwa vipimwe kwanza. Pia kupinga uholela katika ujenzi wa miji ni jambo la kutia moyo sana. Usiishie Dar es Salaam tu, fanya nchi nzima. Hakikisha maafisa ardhi wa wizarani na serikali za mitaa wanafanya kazi zao pia kwani ni kama wamelala usingizi.
 
Anajijengea himaya ya kukwapua ardhi tu!
 
Wanakataa wakati mji ulishaharibika huu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Nashangas watu wanaobeza usimamizi wa Sheria. Sheria zilitungwa ili zisimamie public policy.
Kukebehi usimamizi wa Sheria ni sawa na kutotaka kuwa na goverment.
 
Anna Tibaijuka kuwa Mkurugenzi wa shirika la makazi la umoja wa mataifa kunamfanya kuwa mtu sahihi na makini sana katika suala la makazi na mipango miji. Hakuwa anabahatisha alipoukataa uhuni wa kuwekwa kituo cha mafuta sehemu isiyostahili katika mtaa wake. Wengine tunapaswa kuiga mfano wake, pia anafaa sana kuwa mshauri wa Rais katika mazingira na mipango miji.

Jerry Silaa usirudi nyuma kutaka viwanja vyote vinavyouzwa vipimwe kwanza. Pia kupinga uholela katika ujenzi wa miji ni jambo la kutia moyo sana. Usiishie Dar es Salaam tu, fanya nchi nzima. Hakikisha maafisa ardhi wa wizarani na serikali za mitaa wanafanya kazi zao pia kwani ni kama wamelala usingizi.
Nchi hii mifumo yake ya utendaji kazi imekufa, badala ya kuifufua, watu wanaamua kutafuta cheap popularity. Kiongozi mzuri ni yule anayelijua hili. Wasituletee usanii wa Makonda.
 
Risk ya kulipuka Kwa kituo kwenye makazi ya watu ni sawa,lakini ujenzi ufuate kanuni zikizoainishwa na NEMC ikiwa ni pamoja na namna ya kukinga na kukabiliana na janga lolote la kimazingira kama itatokea.
Wananchi wanahitaji huduma ya nishati,hivyo ni wajibu Serikali kuboresha namna iliyo rafiki ya kulinda wawekezaji wa ndani.
 
Hata green belt hakuna yaani kila sehemu ya wazi ni kujenga tu
Kwani lazima kubanana?
Kuna sehemu Dar hata gari hazifiki ni vichochoro tu na kwingine inabidi upande ngazi ukashukie kwako 😄
Mji uwe na mpangilio na sehemu zingine ziwe hata uwanja wa wazi ili watu wapumzike
Kila sehemu nchini ni vurugu tu na hao unaowasema wamelala labda huwajui kutwa ni madili tu hakuna majambazi kama hao
 
Hivi wàziri wa ardhi alikua Ni Nani wakati kile kituo Cha Mikocheni kinajengwa, Ni mtumishi Lukuvi au yule mama Mabula?
Je NEMC kwenye mafaili Yao wameandika kijengwe au kisijengwe.
Kuna hiki Cha stop over mataa, waziri gani alitia wino kijengwe? NEMC nao waliw3ka baraka zao.?
Jerry Kuna kazi kubwa Sana mbele yako. Kama kajikituo kamoja rushwa yake Ni milioni mia tatu, hivi vituo vinavyojengwa kuanzia stendi mpya kibaha Hadi Chalinze wahusika wamechukua pesa kwenye canter au kirikuu?
 
Back
Top Bottom