Hongera IGP mwema, kazi unayofanya ni kubwa

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Tumepata bahati ya kusali ijumaa zetu bila ya usimamizi wa Polisi tuliozoea nao. ilikuwa nadra kukuta Ijumaa inasaliwa huku polisi wakiwa wamezunguruka misikiti.
hongera kwa kazi kubwa mnayofanya kwa kudumisha amani .kwani wakati polisi wakilinda msikiti majambazi walikuwa wakifanya uhalifu madukani.lkn baada ya polisi kujua jukumu lake la kupambana na majambazi hatimae ujambazi umetokomea.
Hongera IGP mwema kwa kuona kasoro hiyo
 
Kama mwema ni mwema na muugwana kiasi mnachofikiria hadi mkampa hongera waulizeni askari wake anavyo watenda.Au mnasemaje maafande?
 
Tumepata bahati ya kusali ijumaa zetu bila ya usimamizi wa Polisi tuliozoea nao. ilikuwa nadra kukuta Ijumaa inasaliwa huku polisi wakiwa wamezunguruka misikiti.
hongera kwa kazi kubwa mnayofanya kwa kudumisha amani .kwani wakati polisi wakilinda msikiti majambazi walikuwa wakifanya uhalifu madukani.lkn baada ya polisi kujua jukumu lake la kupambana na majambazi hatimae ujambazi umetokomea.
Hongera IGP mwema kwa kuona kasoro hiyo

ok ... na pia

- mwambieni aache kuwakamata vijana wake wanaodai posho zao za 150,000/= (kwa mujibu wa majibu yao bungeni) badala ya 100,000/=
- vp amesha release press statement yoyote ya executioners wake wa nyamongo/arusha etc?? hatua gani wamechukuliwa??
- na nasikia ana kabiashara kake pale maeneo ya ........... ?? vp yeye hakuwepo kwenye mgomo wa mafuta wa hv majuzi?? magari gani yanayotengenezwa kwenye ile biashara yake pale??

muulize hayo tu kwa leo ... akishakupatia majibu ... mpatie hongera zaidi!!

adios!
 
jambo usilolijua kweli ni km usiku wa giza,na siri ya mtungi aijuaye kata,hizo sifa mnampa za nn wakati ndg zetu mapolisi kawaibia posho zao kutoka 150,000/= hadi 100,000/= hana lolote!
 
Back
Top Bottom